Kwanini kila event ninayohudhuria huwa napewa 'first-class treatment'?

Kwanini kila event ninayohudhuria huwa napewa 'first-class treatment'?

Ndio ndio
 
Ulipona bro?
 
 
Kwa ulivyoandika huu Uzi unaonyesha ww ni mtu wa namna gani,na wanaokupa uV.I.P wanaenda na wewe unavyoenda
 
Kamshahara?! Kwamba nn mkuu nltaka kusema una hadh kimuonekano lkn kwa kutaja kamshahara kako huenda uko kama huyu mzee
1686674500398.jpg
 
Ata akitakiwa mtu wa kafara utapewa first priority unapowaza maxuri usijisahaulishe kuwa na mabaya yapo kwa ajili yako yanakusubiria
 
Wakuu, mimi ni mtumishi wa umma tu mwenye kamshahara ambako hakazidi 1.3m take home.

Mpaka naandika uzi huu kuna issue inanisumbua, pamoja na kwamba kwenye mamlaka ninayofanyia kazi kuwa me ni mtumishi wa ngazi ya chini kabisa but nimekua nikipata first class treatment kulinganisha na wenzangu.

Mfano jana tulikua na event ya organization yetu na all junior staffs walikua na upande wao but waandaji wa event wakaniambia mimi nikae VIP akati ni junior officer.

Nifanyaje wakuu?
Post picha yako tuone kuna kitu.
 
Kale ka-tunguli karudishe kwa yule babu mwambie katakuletea sintofahamu.
 
Mwenzako huyu huku.
 
Back
Top Bottom