kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Ivi kweli tumefikia hku ..... kabisa una kaa unandika utumbo kama huu au umetuchukuliaje ...hatakama una uhuru wakutoa maoni this is too much..... tutapata katiba mpya kweli kama mada ndo kama hizi .... OK... wapelekee fb utapata majibu unayo tarajiaWakuu, mimi ni mtumishi wa umma tu mwenye kamshahara ambako hakazidi 1.3m take home.
Mpaka naandika uzi huu kuna issue inanisumbua, pamoja na kwamba kwenye mamlaka ninayofanyia kazi kuwa me ni mtumishi wa ngazi ya chini kabisa but nimekua nikipata first class treatment kulinganisha na wenzangu.
Mfano jana tulikua na event ya organization yetu na all junior staffs walikua na upande wao but waandaji wa event wakaniambia mimi nikae VIP akati ni junior officer.
Nifanyaje wakuu?
Hyo avatar yako na hii comment vinaendana kabisaUnagutumbo gukubwa hivyo wanafikiri wewe ni boss kumbe kamshahara kenyewe ni mil.1 tena kwa mwezi
Unaweza kuwa wa level ya chini kuliko au kama wengne but ukaheshimika kutokana na aina ya majukumu unayoyafanya..mfano wazir wa michezo,wa fedha na wa utalii wote ni mawaziri but automatically waziri wa fedha lazima atakuwa na power zaidi kuliko hao wengne kutokana na majukumu yake tuu..na hata hao wengne lazima wanamheshimu waziri wa fedha sababu yy ndie atawezesha hata wao mambo yao yakwenda..hichi kitu ukisoma topic power ktk management utakutana nacho.Wakuu, mimi ni mtumishi wa umma tu mwenye kamshahara ambako hakazidi 1.3m take home.
Mpaka naandika uzi huu kuna issue inanisumbua, pamoja na kwamba kwenye mamlaka ninayofanyia kazi kuwa me ni mtumishi wa ngazi ya chini kabisa but nimekua nikipata first class treatment kulinganisha na wenzangu.
Mfano jana tulikua na event ya organization yetu na all junior staffs walikua na upande wao but waandaji wa event wakaniambia mimi nikae VIP akati ni junior officer.
Nifanyaje wakuu?
Hongera una nyota kali.Wakuu, mimi ni mtumishi wa umma tu mwenye kamshahara ambako hakazidi 1.3m take home.
Mpaka naandika uzi huu kuna issue inanisumbua, pamoja na kwamba kwenye mamlaka ninayofanyia kazi kuwa me ni mtumishi wa ngazi ya chini kabisa but nimekua nikipata first class treatment kulinganisha na wenzangu.
Mfano jana tulikua na event ya organization yetu na all junior staffs walikua na upande wao but waandaji wa event wakaniambia mimi nikae VIP akati ni junior officer.
Nifanyaje wakuu?
Hahahaaa,Wanakujua ni wa hovyo, wanakuweka VIP ili uone aibu kufanya mambo yako ya hovyo ukaharibu shughuli zao.