Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Kwi kwi kwiiiWanakujua ni wa hovyo, wanakuweka VIP ili uone aibu kufanya mambo yako ya hovyo ukaharibu shughuli zao.
Msema kweli......[emoji38]Kwi kwi kwiii
Kwa kushushua tu huna mpinzani[emoji1787][emoji1787]
Post picha yako tuone kuna kitu.Wakuu, mimi ni mtumishi wa umma tu mwenye kamshahara ambako hakazidi 1.3m take home.
Mpaka naandika uzi huu kuna issue inanisumbua, pamoja na kwamba kwenye mamlaka ninayofanyia kazi kuwa me ni mtumishi wa ngazi ya chini kabisa but nimekua nikipata first class treatment kulinganisha na wenzangu.
Mfano jana tulikua na event ya organization yetu na all junior staffs walikua na upande wao but waandaji wa event wakaniambia mimi nikae VIP akati ni junior officer.
Nifanyaje wakuu?