Mibas
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,196
- 6,367
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugumu wake ni nini? Mbona South Africa imewezekana? Na nadhani nchi nyingi tu Afrika hii inafanyika hivyo.Hili wazo ni bora, kwa mazingira ya kwetu nadhani bado ni vigumu
Huko ulaya hawafi? Kwani ukichukua mkopo bank na ukafa nani analipa?Ukifa je nani atalipa!
Kuna wanaotambulika ambao wako kwenye ajira rasmi kama wafanyakazi.Kuna jamaa yangu mkorea by then alinunua simu sumsang S9 kipindi inatoka huko kwao kwa kulipa kidogo dogo ,alisema kule kila MTU anajulikana anakaa wapi tatizo hapa Tanzania ni makazi ya watu hawatambuliki wengi wafanya kazi zisizo rasimi.
Usilinganishe Afrika Kusini MA shithole Kama mini Ambao hata kupima Makazi mmeshindwa.Kwanini kila kitu huku kwetu Tanzania lazima mtu anunue kwa pesa tasilimu(cash money)?
Tanzania ukitaka simu lazima uwe na cash, ukitaka gari lazima uwe na cash, ukitaka samani za ndani lazima uwe na cash money, yaani kila kitu ni cash.
Vitu kama simu mitandao ya simu hua na offa ya mtu kuchukua simu na kuanza na down payment kiasi flani unachukua simu kisha unalipa kila mwezi kiasi flani hadi deni linaisha.
Vodacom South Africa wana hiyo huduma, sio ulaya ni hapa Africa ila ukija Tanzania huduma kama hizo hazipatikani, bila cash hupati huduma.
Makampuni ya simu kama Samsung au Apple huko nchi nyingine wana ofa ya kurudisha simu ya zamani na unalipipa kidogo kubadilisha simu mpya, huku kwetu hizo huduma hazipo.
Ikija mpya nunua hutaki acha. Hii haijalishi wewe ni mfanyakazi wala mfanya biashara. Wafanyakazi sekta rasmi wanaweza tu kuaminiwa na bank au taasisi za fedha tu hapa Tanzania.
Makampuni au wakala wa magari Tanzania ni lazima uwe na cash money. Ingawa sasa kuna makampuni machache yameanza kuuza magari on credit with some down payments kiasi flani.
Hii ya kununua kila kitu on cash basis inatengeneza maisha yanakua magumu sana.
Je, nini kinasababisha nchi hii watu hawaaminiki kiasi hicho kwamba bila pesa tasilimu hupati huduma?
Hata hapa Bongo tuna credit bureau ila inahusika na mikopo ya taasisi za fedha tu.Usilinganishe Afrika Kusini MA shithole Kama mini Ambao hata kupima Makazi mmeshindwa.
Wait wanajijengea hovyo na kuishi Kama digidigi.
AK ni nchi ya wazungu, wana mfumo wa credit card na credit bureau.
Soma mada, sio kila mada ni siasa!Kama Mbowe mwenyewe tu kapiga bilioni 8 za chama unategemea nini hapo.