Kwanini kila kitu Tanzania lazima ununue kwa pesa tasilimu?

Kuna jamaa yangu mkorea by then alinunua simu sumsang S9 kipindi inatoka huko kwao kwa kulipa kidogo dogo ,alisema kule kila MTU anajulikana anakaa wapi tatizo hapa Tanzania ni makazi ya watu hawatambuliki wengi wafanya kazi zisizo rasimi.
Kuna wanaotambulika ambao wako kwenye ajira rasmi kama wafanyakazi.
 
Usilinganishe Afrika Kusini MA shithole Kama mini Ambao hata kupima Makazi mmeshindwa.

Wait wanajijengea hovyo na kuishi Kama digidigi.

AK ni nchi ya wazungu, wana mfumo wa credit card na credit bureau.
 
Hata hapa Bongo tuna credit bureau ila inahusika na mikopo ya taasisi za fedha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…