Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado inaendelea hadi swala ya alfajiri.Kwani mechi imeisha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kumbe inaendelea???Kwani mechi imeisha?
Yanga kashinda mechi tatu Mazembe, Malumo na wale Monastir,pamoja na kudominate game jana Yanga,ila waarabu walicheza objectives football, uzuri kila walicho kipanga kilikuwa ni sawa so ni mbinu tu.Nimefanya utafiti games 3 alizocheza Yanga mvua ikinyesha 2 kapigwa! Yanga vs Simba nk
Je ni wakati sahihi kuamini Yanga mvua ndiyo ulozi mkubwa kwao!