Kwanini kila mvua ikinyesha Yanga anafungwa!

Kwanini kila mvua ikinyesha Yanga anafungwa!

kishumbaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,183
Reaction score
1,619
Nimefanya utafiti games 3 alizocheza Yanga mvua ikinyesha 2 kapigwa! Yanga vs Simba nk

Je ni wakati sahihi kuamini Yanga mvua ndiyo ulozi mkubwa kwao!

Nimefanya utafiti games 3 alizocheza Yanga mvua ikinyesha 2 kapigwa! Yanga vs Simba nk

Je ni wakati sahihi kuamini Yanga mvua ndiyo ulozi mkubwa kwao!

Yanga kashinda mechi tatu Mazembe, Malumo na wale Monastir,pamoja na kudominate game jana Yanga,ila waarabu walicheza objectives football, uzuri kila walicho kipanga kilikuwa ni sawa so ni mbinu tu.

Tuachane na haya mawazo ya kijinga.
 
Vyura wanayafuraia maji wanajisahau kua wapo kwenye majukumu
 
Back
Top Bottom