Mkungunero
JF-Expert Member
- Aug 13, 2023
- 401
- 569
Imekuwa kama fashion kwamba karibu kila mwandishi akiandika jambo kuhusu Tanzania, lazima amnukuu Mwalimu Nyerere. Wanasiasa na wanazuoni pia hivyo hivyo, kila speech lazima wamnukuu Mwalimu Nyerere.
Huwa najiuliza, kwani wazee wengine hawakuwa na mawazo? Hayajaandikwa? Hawakutoa speeches?
Mzee Karume, Dr. Salim Salim, Mzee Kawawa, Wakina Bibi Titi, Mzee. Sokoine, etc., wao quotes zao zipo wapi? Mbona kama historia yote anapewa Nyerere peke yake?🤔