Mkungunero
JF-Expert Member
- Aug 13, 2023
- 401
- 569
Hawa wengine uliowataja elimu zao ni za kuunga unga. Nani atawanukuu vilaza hawa?Mzee Karume, Dr. Salim Salim, Mzee Kawawa, Wakina Bibi Titi, Mzee. Sokoine, etc., wao quotes zao zipo wapi? Mbona kama historia yote anapewa Nyerere peke yake?🤔
sema, wengi wao ni kificho ficho, na kama Nyerere angekuwepo, wala rushwa - wangesekwa ndani na viboko 24 juu- 12 siku anaingia, 12 siku anatoka aende kumuonesha mke wake- rejeaWengi wao mambo yao hayajawekwa wazi sana kama JKN
Anza wewe, na utupatie nukuu unazozikumbuka, kama unazo.Imekuwa kama fashion kwamba karibu kila mwandishi akiandika jambo kuhusu Tanzania, lazima amnukuu Mwalimu Nyerere. Wanasiasa na wanazuoni pia hivyo hivyo, kila speech lazima wamnukuu Mwalimu Nyerere.
Huwa najiuliza, kwani wazee wengine hawakuwa na mawazo? Hayajaandikwa? Hawakutoa speeches?
Mzee Karume, Dr. Salim Salim, Mzee Kawawa, Wakina Bibi Titi, Mzee. Sokoine, etc., wao quotes zao zipo wapi? Mbona kama historia yote anapewa Nyerere peke yake?🤔