Kwanini kila mwenye bifu na Diamond basi lazima apotee kwenye game

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Kama Title ya Topics inavyo-sema hii nimeona Mara kadhaa

Bifu limeanzia kwa bobu junior kapotea Adamu Juma kapotea Maneke kapotea Shetta kapotea Ali kiba kapotea yani jamaa anatoboa kwa mabifu tu hii imekaaje wadau?

Fiesta&Tigo. Clouds$Ruge Shilawadu kama unavyoona anavyo wauwa

Bifu likaja kwa Ommy dimpoz. Kipindi ommy anavuma basi alikua yupo karibu na Diamond ndipo alipo toa hit song na zika-hit ila baada ya kuanza bifu dhidi ya Diamond basi akaanza kupotea kwenye ramani za music.

Yoyote atakae jaribu kuingia anga za huyu Diamond basi lazima apotee jamaa anawazidi kete sana kwenye Game hata kwenye real life. Mm sina Team
 


Mkuuu inaonyesha wazi bila chenga bila kupepesa mboni ww ni team Dangote in bongo flva.....tatizo la waleta bifu kwa Mond ni kuwa uwa wanawekeza sana kwenye bifu kuliko kufanya kazi zao....mwisho wa Siku wanajikuta chaliiiii....na muda ushatambaa na Dogo anasonga tu.
 

Magufuli kaingia, ampoteze tuone
 
HBABA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…