Kwanini kila nikimaliza kufanya mapenzi baada ya masaa 24 mbavu huanza kuuma?

Kwanini kila nikimaliza kufanya mapenzi baada ya masaa 24 mbavu huanza kuuma?

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa,

Naombeni msaada wenu kwa hali na mali juu ya hali yangu

Kwanini kila nikimaliza kufanya mapenzi na mwanamke mbavu huuma sana hasa yanapopita masaa 24. Jana niligegeda mda wa asubuhi cha ajabu toka jana saivi ndo mbavu zimeanza kuuma.

Imekuwa ni mara kwa mara sana

Naombeni wenye kujua wanisaidie tatizo ni nini


LONDON BABY
 
Hadi hapo umeisha kufa.
Kaandike wosia.
 
Msichana atakuwa na tatzo ebu mlete na kwangu tuone tatzo lake tutatue
 
Hapana,, Hilo ni Jini, sio mtu wakawaida *subiri kunasiku Utapelekwa kwa wakwe Baharini,, shtuka kabla ,,Hata hivyo Kwakuwa umeyasema leo hadharani Utakuwa umevujisha Siri,, Natayari kisha gundua kazi kwako mkuu
 
Acha kufanya ngono. Hicho sio chakula kusema utakufa njaa
 
Back
Top Bottom