Kwanini Kila nikiskiliza huu wimbo wa me too hisia zinahamia kwenye wimbo wa Sukari guru?

Kwanini Kila nikiskiliza huu wimbo wa me too hisia zinahamia kwenye wimbo wa Sukari guru?

Yeah kijana ako na kipaji kikubwa, na ukitaka uprove hilo angalia kwenye namna anavyotengeneza melodies zake lakini pia namna anavyotengeneza hayo mashairi yake.
Screenshot_20250304-230326_1741118668970.jpg






Sasa ilikuaje huyu mswahili akasema Dogo hajui kuimba.🍿
 
Tatizo kubwa tanzania vijana wanakosa exposure kutokana na sera zetu katika sanaa hakuna sehemu husika ambayo inaweza ikainua vipaji vijijini na vikaja kuonekana ni hadi kubahatisha kama kijana Harmonize na kufanikiwa kimuziki.

Serikali liangalie katika namna tofauti ili kusaidia wengine wenye vipaji hvyo walioko mbali kama shule za sanaa kila mkoa zingesaidia mnoo
 
Back
Top Bottom