Kwanini kila ninaempigia simu Tanzania kwa normal international minutes hapatikani?

Kwanini kila ninaempigia simu Tanzania kwa normal international minutes hapatikani?

Ni kweli Hata Mimi siku ya tano sijawapati ndugu zangu, inauma sana
 
wakuu ,simmesikia kuwa kunachangamoto ya Umeme na mitandao imezimwa ,unategemea utawapata kwa njia gani sasa ?

Tuwe tu wapole na tuzidi kuwaombea sana kwa Mungu wetu.
 
Jaribu Rebtel app, mimi nimetumia na kuwapata...

1762091773417.png
 
Kwa hili la kuzima internet wamezinguwa sana AISEE.

Hivi hawajiulizi kwamba kuna wageni pia wapo hapo wanategemea mawasiliano na ndugu zao?
Kuna watu wapo hapo lakini maisha yao yanaendeshwa na ndugu zao nje ya inchi..

Jamaa wana roho ngumu sana .
 
Kuwakatia mawasiliano wamekosea sana.

Hayo ni mambo ya kizamani na yamepitwa na wakati.

Huu ni Ulimwengu wa utandawazi.

Kuficha ficha haisaidii, ukweli mbona unajulikana Ulimwenguni kote
 
Back
Top Bottom