B bluejoy Senior Member Joined Nov 17, 2020 Posts 178 Reaction score 462 Nov 2, 2025 #1 Habari wakuu, Aisee kila ninaempigia smu Tanzania simu hazipatikani , na si kwa whatsap call hapana ni kwa normal international minutes Hivi ndo shida ni mtandao kuzimwa au ndo hakuna umeme simu zao wote hazina. Charge??
Habari wakuu, Aisee kila ninaempigia smu Tanzania simu hazipatikani , na si kwa whatsap call hapana ni kwa normal international minutes Hivi ndo shida ni mtandao kuzimwa au ndo hakuna umeme simu zao wote hazina. Charge??
gTurn JF-Expert Member Joined Jul 21, 2018 Posts 4,557 Reaction score 7,302 Nov 2, 2025 #2 Ni kweli Hata Mimi siku ya tano sijawapati ndugu zangu, inauma sana
NgoniBoy Senior Member Joined Jan 7, 2020 Posts 149 Reaction score 204 Nov 2, 2025 #3 Mkuu wanapatikana baadhi
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 33,575 Reaction score 53,613 Nov 2, 2025 #4 Mimi hata SMS hazifiki
Criss JF-Expert Member Joined Mar 19, 2011 Posts 1,959 Reaction score 3,172 Nov 2, 2025 #5 wakuu ,simmesikia kuwa kunachangamoto ya Umeme na mitandao imezimwa ,unategemea utawapata kwa njia gani sasa ? Tuwe tu wapole na tuzidi kuwaombea sana kwa Mungu wetu.
wakuu ,simmesikia kuwa kunachangamoto ya Umeme na mitandao imezimwa ,unategemea utawapata kwa njia gani sasa ? Tuwe tu wapole na tuzidi kuwaombea sana kwa Mungu wetu.
hsnaturalfertility JF-Expert Member Joined May 14, 2022 Posts 1,029 Reaction score 2,243 Nov 2, 2025 #6 Nadhani walizizuia ila sasa hv wameanza kupatikana
T Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 8,472 Reaction score 17,249 Nov 2, 2025 #7 Jaribu Rebtel app, mimi nimetumia na kuwapata...
mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,848 Reaction score 22,392 Nov 2, 2025 #8 Kwa hili la kuzima internet wamezinguwa sana AISEE. Hivi hawajiulizi kwamba kuna wageni pia wapo hapo wanategemea mawasiliano na ndugu zao? Kuna watu wapo hapo lakini maisha yao yanaendeshwa na ndugu zao nje ya inchi.. Jamaa wana roho ngumu sana .
Kwa hili la kuzima internet wamezinguwa sana AISEE. Hivi hawajiulizi kwamba kuna wageni pia wapo hapo wanategemea mawasiliano na ndugu zao? Kuna watu wapo hapo lakini maisha yao yanaendeshwa na ndugu zao nje ya inchi.. Jamaa wana roho ngumu sana .
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Nov 2, 2025 #9 Kuwakatia mawasiliano wamekosea sana. Hayo ni mambo ya kizamani na yamepitwa na wakati. Huu ni Ulimwengu wa utandawazi. Kuficha ficha haisaidii, ukweli mbona unajulikana Ulimwenguni kote
Kuwakatia mawasiliano wamekosea sana. Hayo ni mambo ya kizamani na yamepitwa na wakati. Huu ni Ulimwengu wa utandawazi. Kuficha ficha haisaidii, ukweli mbona unajulikana Ulimwenguni kote
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,961 Reaction score 25,325 Nov 2, 2025 #10 Daaah mimi familia yangu wanangu daaah noma saana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Nov 3, 2025 #11 Pole sana... Cc: Mahondaw
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 4, 2025 #12 Aiseeee