Kwanini kila wakati ni mpaka Wakristo wafanye jambo ndio Waislamu wanakumbuka dini yao?

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,994
Reaction score
24,902
Nimeona thread nyingi za wanazuoni wa Ki-Islamu wiki hii kuliko wakati mwingine mwezi uliopita. Hii inafuatia kupigwa na kujeruhiwa kwa Pd. Kitima ambaye ni Katibu wa TEC.

Nimewahi kuona pia siku zilizopita Wakristo wakifanya jambo mathalani TEC kutoa waraka kwa waumini wake ndio rejea za dini ya kiislamu zinakuwa nyingi, mara utaona ma-sheikhe ndio mihadhara inakuwa mingi na kadhalika.

Je, Waislam hawana agenda mpaka Kanisa lifanye kitu ndio wazinduke?
 
Maulamaa hawana ajenda ya maana zaidi ya kubwabwaja na kutoa matamko yasiyo kichwa wa miguu.

Matamko yao mengi wanatumwa wayaseme tena mengine kwa malipo yasiyo kuwa na maana.
 
Kuna shida kubwa sana
Nimeona thread nyingi za wanazuoni wa Ki-Islamu wiki hii kuliko wakati mwingine mwezi uliopita. Hii inafuatia kupigwa na kujeruhiwa kwa Pd. Kitima ambaye ni Katibu wa TEC.

Nimewahi kuona pia siku zilizopita Wakristo wakifanya jambo mathalani TEC kutoa waraka kwa waumini wake ndio rejea za dini ya kiislamu zinakuwa nyingi, mara utaona ma-sheikhe ndio mihadhara inakuwa mingi na kadhalika.

Je, Waislam hawana agenda mpaka Kanisa lifanye kitu ndio wazinduke?
 
Alafu cha kushangaza waraka wa TEC unaihusu serikali badala serikali ndo ijibu wanajibu mashehe na waislam
 
Nimeona thread nyingi za wanazuoni wa Ki-Islamu wiki hii kuliko wakati mwingine mwezi uliopita. Hii inafuatia kupigwa na kujeruhiwa kwa Pd. Kitima ambaye ni Katibu wa TEC.

Nimewahi kuona pia siku zilizopita Wakristo wakifanya jambo mathalani TEC kutoa waraka kwa waumini wake ndio rejea za dini ya kiislamu zinakuwa nyingi, mara utaona ma-sheikhe ndio mihadhara inakuwa mingi na kadhalika.

Je, Waislam hawana agenda mpaka Kanisa lifanye kitu ndio wazinduke?
Waislam wenye akili nchi hii ni Prof Assad na wale Shura ya Maimam tu. Hawa wengine wa Bakwata ni viazi mbatata.
 
Back
Top Bottom