Maulamaa hawana ajenda ya maana zaidi ya kubwabwaja na kutoa matamko yasiyo kichwa wa miguu.Nimeona thread nyingi za wanazuoni wa Ki-Islamu wiki hii kuliko wakati mwingine mwezi uliopita. Hii inafuatia kupigwa na kujeruhiwa kwa Pd. Kitima ambaye ni Katibu wa TEC.
Nimewahi kuona pia siku zilizopita Wakristo wakifanya jambo mathalani TEC kutoa waraka kwa waumini wake ndio rejea za dini ya kiislamu zinakuwa nyingi, mara utaona ma-sheikhe ndio mihadhara inakuwa mingi na kadhalika.
Je, Waislam hawana agenda mpaka Kanisa lifanye kitu ndio wazinduke?
Shura ya maimamu alipo sheikh Ponda huwa wanatoa ajenda nzito.Maulamaa hawana ajenda ya maana zaidi ya kubwabwaja na kutoa matamko yasiyo kichwa wa miguu.
Matamko yao mengi wanatumwa wayaseme tena mengine kwa malipo yasiyo kuwa na maana.
Nimeona thread nyingi za wanazuoni wa Ki-Islamu wiki hii kuliko wakati mwingine mwezi uliopita. Hii inafuatia kupigwa na kujeruhiwa kwa Pd. Kitima ambaye ni Katibu wa TEC.
Nimewahi kuona pia siku zilizopita Wakristo wakifanya jambo mathalani TEC kutoa waraka kwa waumini wake ndio rejea za dini ya kiislamu zinakuwa nyingi, mara utaona ma-sheikhe ndio mihadhara inakuwa mingi na kadhalika.
Je, Waislam hawana agenda mpaka Kanisa lifanye kitu ndio wazinduke?
Waislam wenye akili nchi hii ni Prof Assad na wale Shura ya Maimam tu. Hawa wengine wa Bakwata ni viazi mbatata.Nimeona thread nyingi za wanazuoni wa Ki-Islamu wiki hii kuliko wakati mwingine mwezi uliopita. Hii inafuatia kupigwa na kujeruhiwa kwa Pd. Kitima ambaye ni Katibu wa TEC.