Mgosi Mbena
JF-Expert Member
- Nov 28, 2023
- 499
- 604
Hakika kama china. Ndio hawana mpango nacho kbs
Labda kwako mkuu wengine tunakipiga kama tumezaliwa nacho.
Umenikumbusha nilienda Tunisia aloo watu wa kule kiingereza kimewapitia kushoto sanaaaaaa Bora bongo huku waanajitahidi.
kiingereza ni kirahisi ukianza kujifunza tangu mdogoKwann kingereza kukielewa ni ngumView attachment 2861646
Psycho The Rapist πππ
Haaa haaaa instead of talking is sell in small money you say in low money .Good GodNo, English is not hard!
For example, this is January petrol and Diesel is sell in low money now, this is important of our government!! Thank you
ππ
Kipindi nafundishwa kingereza mwalimu alitumia kiswahili kunielekeza.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuishangilia Taifa Stars?Labda kwako mkuu wengine tunakipiga kama tumezaliwa nacho.
Umenikumbusha nilienda Tunisia aloo watu wa kule kiingereza kimewapitia kushoto sanaaaaaa Bora bongo huku waanajitahidi.
Ni kweli kabisa mkuu.ndio shida ilipoanzia hapo
Ni lugha ngumu mno neno WHY=KWANINI nachoka kabisaa hakuna uwiano