Kwanini Kingereza ni kigumu sana

Kwanini Kingereza ni kigumu sana

Labda kwako mkuu wengine tunakipiga kama tumezaliwa nacho.
Umenikumbusha nilienda Tunisia aloo watu wa kule kiingereza kimewapitia kushoto sanaaaaaa Bora bongo huku waanajitahidi.

Aloooo nchi zenye superiority complex hawajifunzi Kingereza
 
IMG_4387.jpg
 
Back
Top Bottom