Kwanini Kinyerezi kuna mgawo wa Maji iwe mvua iwe jua?

Laiswa

Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
61
Reaction score
94
Naomba kuuliza nini kinasababisha kuendelea kuwepo kwa mgao wa Maji Kinyerezi?

Mfano mimi nnapoishi sijaona maji ya DAWASA zaidi ya miezi 3 pamoja na mvua zote hizi zinazonyesha.
 
DAWASA kinyerezi ni kumfukuza kuanzia Manager na Manager wa Mkoa kabisa, Waziri Awesso ana taarifa watu wa Kinyerezi nani mjini ila maji shida sana, hao viongozi wa DAWASA wakifukuzwa utaona maji yanakuja
 
Malamba Mawili, Kifuru mpaka Kinyerezi huko watu wanasomeshwa namba na DAWASCO kisingizio ile miinuko.
Hakuna jambo tunaweza kutembelea mbele kujivunia kama taifa.
 
Miezi 3 ?? Na tuliambiwa kuna visima vinachimbwa kigamboni kuongezea maji sijui vilishia wapi
 
Kingeni ya mvua acheni kulala Mika,sema wakiwaletea bili muwachome vidole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…