Kwanini Kiporo kilicholiwa kwa mikono na wanaume huchacha haraka kuliko kiliwacho na wanawake?

Kwanini Kiporo kilicholiwa kwa mikono na wanaume huchacha haraka kuliko kiliwacho na wanawake?

Jambo hili limekuja na nadharia nyingi mno,inawezekana kuna ukweli katika kila moja.
 
Mkuu hii ni kutokana na wanawake kushikashika sana sufuria za moto na vifaa vingine vya jikoni hupelekea "bacteria waozeshaji" kuigopa sana mikono ya hawa viumbe.

Pia ile hali ya wanawake kuonja onja sana misosi kule jikoni inapelekea wadudu waozeshaji kuchukulia harufu ya mikono yao kuwa part&parcel ya msosi husika and hence hawawezi kuleta madhara hata wakishija chakula!
Noted
 
Labda huko kwenu DIZIMU huku mkonai nilipo MBEYA unakula wali maharage ubayabakiza unayewa juu unafunika asubuhi kama kawa unaamka nao unaenda kulima bila kuchacha,kwenu DIZIMU hata usiposhika na JOTO lote hilo lazima kichache tu hakuna namna.
 
Huyu jamaa naona kaandika fumbo kubwa tu,,,
Mwanaume akifanya mapenzi na mwanamke siku ya kwanza tu,, tayari anakuwa ameisha jua ulivyo kila kitu mwilini mwako hana shida na ww alitaka ajue unaradha gani,,,
Mwanamke akifanya mapenzi na mwanaume inakuwa tofauti wengi wao ndiyo wanaongeza hamu ya kutaka afanye tena na mwanaume yule yule.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom