Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

Source tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shusha nondo na huko kwa kina Barnaba

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mwanateolojia akipinga kitabu ndiyo kusema nini?
 
Mkuu inasikitisha sana tena sana pale unapojua kuwa kuna mambo hayaendi sawa halafu ukiwaambia watu wanapuuza tu....

Unaishia kuumia tu maana huna namna....
 
Itabidi nitafute hiki kitabu nisome na kuelewa zaidi
 
Yetu niyale ambayo ametufunulia ambayo hatujafunuliwa sio yetu wala tusihamgaike nayo maana hakuna awezae kuongeza limo cha urefu ulio nao. WEWE MKUBALI YESU KUWA MWOKOZI WA MAISHA YAKO TU.
Kwahiyo utakuwa umeelewa au umekariri?
 
mkuu Utingo kun kitu nimekinot kwenye coment yako kupitia mistar ulioitoa kumbe kuna pia kitabu cha yashari? sikuwahi kusoma wala kudhania hili, na hata nikiuliza kwa kiongozi wangu wa kiroho nadhani hatanipa jibu, unaweza kutupa mwanga kidogo mkuu?
Mkuu haya mambo ya ajabu sana. Ukisoma kitabu cha Yashari utagundua kuwa kitabu cha mwanzo ni kama summary ya kitabu cha Yashari. Nina soft copy yake. Ikiwa unahitaji njoo inbox nipe email yako nitakutumia.
 

Siri ya Mungu from the fall of man to the second coming of Jesus I can give you the spiritual side of it from one book to the other. Jambo usilolijua ni kuwa katika biblia kuna historical, environmental, spiritual, cultural and geographical issues.

Ukideny hizo huwezi kuufikia utakatifu na kuijua siri ya wokovu.
 
Mkuu haya mambo ya ajabu sana. Ukisoma kitabu cha Yashari utagundua kuwa kitabu cha mwanzo ni kama summary ya kitabu cha Yashari. Nina soft copy yake. Ikiwa unahitaji njoo inbox nipe email yako nitakutumia.
Nakuja pm Mkuu unitumie hicho kitabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…