The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
🤣🤣🤣Duu hizi Avatar kumbe zina hati miliki? Nilikuwa sijajua hilo....Sasa Denzel akiingia humu utamuambiaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Duu hizi Avatar kumbe zina hati miliki? Nilikuwa sijajua hilo....Sasa Denzel akiingia humu utamuambiaje?
Orthodox Coptic Anglican na roman Catholic zote ni catholic church nduguHapana Orthodox ni dini ya mda mrefu sana hata kwenye mtakuso wa kwanza mtaguso mwaka 325 walikuwepo na Coptic, pia walikuwe pamoja na madhehe ya mwanzo unaweza Google ila Orthodox haimtambui papa kama kiongozi wao na walikuwa hawana uhusiano mzuri na katoliki hadi mwaka jana papa alipomtembelea kiongozi mkuu wa Orthodox
Sent using Jamii Forums mobile app