Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1433][emoji1431]Dunia ina mengi sana hatuyajuu,ngoja nikisake kitabu cha bibi vanga niongeze maarifa
Ukipata utaniambia
Nimeipenda hii. Mimi ni mkristu lakini nimeipenda Sana ulivyojibu KWA utulivu na ufasaha.Jibu la swali namba 1: HAPANA SIYO YEYE.
Jibu la swali namba 2:
24 Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.
Mwanzo 32:24
25 Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye.
Mwanzo 32:25
26 Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki.
Mwanzo 32:26
27 Akamwuliza, Jina lako n'nani? Akasema, Yakobo.
Mwanzo 32:27
28 Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.
Mwanzo 32:28
29 Yakobo akamwuliza, akasema, Niambie, tafadhali, jina lako? Akasema, Kwa nini waniuliza jina langu? Akambariki huko.
Mwanzo 32:29
HUYO ALIYEPIGANA MIELEKA NA YAKOBO NDIYE ALIYEMKABA MUHAMMAD.
Pia umesema malaika ni lazima asalimie!.Huyu aliyepigana mieleka na YAKOBO, HAKUSALIMIA PIA.
UNASEMAJE SASA?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huoni kwamba kumbe hicho kitabu kina faida zaidi ndio maana kikafichwa?Wapendwa, msidanganyike. Enoki alikuwa na vitabu viwili. Cha kwanza, ni mile kilichohusika na majina ya malaika wote , ukiwa ni pomaja na wale majemadari 72 waliofukuzwa mbinguni. Kitabu hiki, ndicho kinachotumiwa na waganga, na hata wahubiri wa makanisa ya sasa katika kazi ya utoaji wa mapepo. Waganga Hawa, pia hutumia vitabu viwili vya mfalme sulemani alivyoviandika na kuvitumia katika mambo ya uuguzi. Kwa hivyo,kitabu cha Enock cha majina ya malaika, hakina faida yoyote kwa Mtu asiyekuwa na mambo ya uganga.wanaokitumia kitabu hiki, ni wale wanaotaka kutumia watu vipande, na kutibu kwa njia ya uganga. Sasa kama mkristo, unakatazwa kutafuta msaada kutoka kwa watu, viumbe vilivyoko mbinguni,(malaika), ya nini kuhangaika na kitabu chenye majina ya malaika?. Kitabu cha pili cha Enock ni kitabu kinachohabari zote za maisha na kazi aliyoifanya Bw. Yesu. Yaani vitabu vya Injili (Mathayo, Marko, Luka , na Yohana. Maelezo ni Yale yale , tofauti ni kuwa badala ya jina la Yesu imeandikwa "kiongozi wa watu".) Hivyo hakukuwa na sababu yoyote ya kuhangaika na kitabu cha Enock . Anayetaka kusoma kitabu cha pili cha Enock, asome Injili za mathato, Marko, Luka, na Yohana,.Achana na vitabu vya Enock vitakutenga na jina tamu, la Yesu maana wa Mungu Aishiye milele.
Weupe sio wazungu tuu,ukiwa mfia dini utakuwa mpumbavuKwa hiyo unataka kusema Mungu hakudhamiria kuumba wanadamu weupe?!
Maarifa yakiongezeka sana yanakuwa UPUMBAV.U..!
Salam
Katika soma soma zangu na kutafuta ukweli na kumtafuta Mungu wa kweli nikagundua kuna vitabu viliondolewa kwenye biblia i.e non canonical books mfano ni book of Enoch na rest of Ester
Sababu zinazotolewa ni kwamba eti kina verses ambazo wao wanaamini hazikuongozwa na roho mtakatifu.
Nilichojifunza katika kitabu cha Enoch ni juu ya origin ya mtu mweupe (kina eleza Mungu aliumba mtu mweusi ila mtu mweupe alitokana na malaika wenye tamaa i.e fallen angels waliokuwa wakiwaingilia kimwili binadamu). Vile vile kinaeleza juu ya mpinga kristo na siku za mwisho.
Swali langu:
Nini kinachowafanya wajue kama ni hekima za binadamu ukilinganisha na vitabu vingine?
Ni kwanini kilitolewa ikiwa kama hekima za Enoch i.e great grandfather of Noah zilitambuliwa na kutajwa waziwazi na waandishi wa agano jipya mfano Jude?
Ivi jews bible si bado vipo ivo vitabu?Salam
Katika soma soma zangu na kutafuta ukweli na kumtafuta Mungu wa kweli nikagundua kuna vitabu viliondolewa kwenye biblia i.e non canonical books mfano ni book of Enoch na rest of Ester
Sababu zinazotolewa ni kwamba eti kina verses ambazo wao wanaamini hazikuongozwa na roho mtakatifu.
Nilichojifunza katika kitabu cha Enoch ni juu ya origin ya mtu mweupe (kina eleza Mungu aliumba mtu mweusi ila mtu mweupe alitokana na malaika wenye tamaa i.e fallen angels waliokuwa wakiwaingilia kimwili binadamu). Vile vile kinaeleza juu ya mpinga kristo na siku za mwisho.
Swali langu:
Nini kinachowafanya wajue kama ni hekima za binadamu ukilinganisha na vitabu vingine?
Ni kwanini kilitolewa ikiwa kama hekima za Enoch i.e great grandfather of Noah zilitambuliwa na kutajwa waziwazi na waandishi wa agano jipya mfano Jude?
Jack the giant slayerSio JACK THE GIANT kweli
Makofi mengi kwako mkuu.[emoji1431][emoji1431][emoji1431]Yeah, bado wapo. Ndo maana, unaona bado wanatufundisha maovu. Kwa sasa wametufundisha ngono za kila aina. Wametufundisha ku sex ktk kila tundu lililopo kwa mwanamke au mwanaume. Na bado wataendelea kutufundisha maovu zaidi hadi tukufuru. Ngono za kila aina zimezagaa kila sehem lengo lao ni kukifanya kiwe kitu cha kawaida. Uharibifu wa maadili kila kona. Wakatuaminisha binti kusoma na mimba shuleni au ana mtoto ni sawa, nasi tukaona kitu cha kawaida na tukaanza kutetea, wakati ilikuwa ni aibuu..! Mifano mingi tu ...... Kazi ipo..!
Wewe bado upo au ulipigwa Ban mzee unatafutwa sana huku!! ulikimbia jukwaa?ulivyofanya utafiti wa awali endelea hivyo hivyo kufanya utafiti ili ujiridhishe na hiyo ''eti wanasema... ''
Na tulifichwa sana enzi za utumwa na ukoloni tusijue Biblia, watumwa wa USA wakaibia muda wa kujua kusoma na kuandika, wakaijua kweli!! na asili yao, mzungu aliona hatari wakijua kusomatatizo la watu wengi ni mareligious na sio spritual so kuna vitu hawataweza kuvijua maishani ! kuna biblia 6000 huku duniani .achana na hii moja ya mzungu aliyoiframe kwa manufaa yake hapa africa
Naweza kuipata hiyo biblia yako? Naamini haina kilo kumi.biblia zipo nyingi sana mkuu mi ya kwangu inacho!
Ipo googleNaweza kuipata hiyo biblia yako? Naamini haina kilo kumi.
Wanefil sio majini. Majini walikuwepo muda mrefu kabla binadamu hajaumbwa na wapo wanaomuabudu Mwenyezi Mungukama wanefili ndo walikuja kua mapepo na majini vipi wale malaika walioasi pamoja na shetani je wao ni kina nani mkuu.?
I miss you 😩😩🤔Mleta Uzi una undugu na "The Boss"??