Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

Unaandika upuuzi mtupu tu hapa jamvini, kimsingi unaboha, waache watu wenye uwezo wachambuwe mambo watu wenye akili timamu tunapata majawabu na fact.

Ila wewe unapwaya sana ingawa unahisi unajuwa lakini hujui lolote ni walewale wafia dini tu mentally slave.
 
Ili kuweza kujibu swali lako lazma ujue ni Nani aliandika biblia hapa itakusaidia kujua Kama kulikua na self interest ama la, kwanini aliandika? Ni lini aliandika? Hii pia inasaidia kujua kitu flan mfano utawala ulopita kafulila alikua tumbili ila sasa anasifiwa mambo hubadilika na wakati,alimwandikia Nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mi nimemuacha tu ajaze server za watu ila haeleweki na bado kashupaza shingo ngoja nisubiri mtu mwenye challenge tofauti
 
Asiee umeamua kurusha ngumi!!! Pole sana Kumbe kufia dini ni upuuzi kwa mtu mwenye mawazo ya kipumbafu na upotevu kama wewe. Ndio sioni maneno mengine mazuri zaidi ya haya "mpumbavu na mpotevu" unaquote upuuzi?

Maana hata maandiko yalijua hili pale ilopo andikwa, lakini neno la msalaba kwao waliopotea ni upuuzi. Hakuna jipya kwa wewe kuniita mimi mpuuzi maana so far umeshapotea, labada uchukue maamuzi ya kimakusudi sasa, othewise umekwisha.


Na washawasha!


 
Siyo suala la nani aliyeandika, ni suala la nani aliamuwa vitabu vipi viwepo kwenye bible na vipi visiwepo. Kimsingi utawala wa Roma ndiyo ulioamuwa vitabu gani viwepo kwenye bible na vipi visiwekwe kulingana na maslahi ya utawala wao.
 
Siyo suala la nani aliyeandika, ni suala la nani aliamuwa vitabu vipi viwepo kwenye bible na vipi visiwepo. Kimsingi utawala wa Roma ndiyo ulioamuwa vitabu gani viwepo kwenye bible na vipi visiwekwe kulingana na maslahi ya utawala wao.

Na akitaka kujua nani aliandika atakuta vingi viliandikwa na havikuwekwa katika biblia.


Na akitaka kujua nani aliandika Wenda akaishia kuhisi tu pasipokujulikana nani aliandika.


LUKA 1..ni hatua nzuri yakujua walikuwepo waamuzi wakuamua hiki kiwepo hiki kisiwepo.
 
Achilia mambo mengine ila ni wazungu ndo wameelekeza mawazo yetu kudhani malaika wana rangi ya brown kama wao. In fact wazungu sio weupe. Najua kitu cheupe ni kama karatasi. Pia hakuna waafrica sio weusi ila brown mixture.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayetaka kutumia kitabu cha Enoch akitafute na akitumie, na hakuna atakayemkataza.
Kama mtu mwingine hakitumii ni hiari yake kukiacha inamana hakimfai.
Wala usimwulize kwanini hakitumii jibu rahisi ni, hakina manufaa kwake. (kwao)

Kuna watu wanatumia Injiri ya Barnaba kwani inawafaa wao na sio wengine, na hawaulizi wengine kwanini hawakitumii.
 
UPO HAI UMEFUFUKIA HUKU PANGONI ?????

MJIBU HUYO KIJANA USIJAMBE HOVYO
Pole sana. Naona umedandia gari kwa mbele. Aliyeuliza swali ni mwelewa na amemwuliza mbumbumbu mbishi kama wewe anayeamini kuwa Agano Jipya lilikuwepo wakati wa Yesu.

Hata umwambie kuwa Yesu alitumia Torati, Zaburi na Manabii hakubali.

Next time usiingilie mambo pasipo kusoma mwanzo wake.

Na kukujibu wewe nipo hai kama alivyo Kristo. Sitakufa kama marehemu unayemwabudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…