Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Sep 22, 2022 #41 imhotep said: Mbona Yangachamwene alisema hicho kitambulisho sio cha uraia?. Click to expand... Yule anazidiwa akili na yule mtoto wake mlevi
imhotep said: Mbona Yangachamwene alisema hicho kitambulisho sio cha uraia?. Click to expand... Yule anazidiwa akili na yule mtoto wake mlevi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 22, 2022 #42 Haijakaa sawa kabisa...
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Sep 22, 2022 #43 Ndani ya Miaka 10 kuna watu hufa, watu hubadili makazi, watu huoa na kuolewa, watu hubadili majina, watu hubadilika sura Hivyo serikali inataka iwe na uhakika wa mtu husika ndo maana kitambulisho huhuhishwa
Ndani ya Miaka 10 kuna watu hufa, watu hubadili makazi, watu huoa na kuolewa, watu hubadili majina, watu hubadilika sura Hivyo serikali inataka iwe na uhakika wa mtu husika ndo maana kitambulisho huhuhishwa