Kwanini kitunguu maji kinamaliza makali ya visu?

fungi06

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2020
Posts
738
Reaction score
1,017
Hamjambo wapenzi wenzangu wa misosi?

Binafsi mimi ni mpenzi mno wa chakula yani napenda sana kula chakula kizuri, kisafi, kitamu, ambavyo vinajenga mwili na akili kama sote tujuavyo dhamira kuu ya chakula mwili..

Nimekua nikijiuliza sana kwa nini visu vyangu kila nikikatia vitunguu geto vinaanza kuisha makali mdogo mdogo

Nilishtuka nikaweka katafiti changu nikatenga kisu maalumu kwa ajili yakukatia vitunguu maji nililobaini nikua kisu cha vitunguu kiliwai kuisha makali haraka sana kiasi kwamba hata stake ya nyama haikati kabisa

Nikasema yanini kuumiza ubongo wangu akati kuna jukwaa lakuweza kunipatia majibu yangu

Je, ni mechanism gani kitunguu inafanya mpaka kisu kiishe makali haraka ivyo?

Je, kitunguu maji pia kina chemical gani izo mpaka tulie?

Je, kuna dawa yakuzuia kutoka machozi ukiwa unakata vitunguu maji?

Msaada wenu wakuu majibu ya hovyo kwa watu wa hovyo yanaruhusiwa pia
 
Inasababishwa na Sulphur Compound ambayo inapatikana kwenye kitunguu maji maana Sulphur inasifa za kukwaruza/kuharibu kitu chenye chuma Yan (Corrosive properties) ivyo inapunguza ukali wa incha na kupelekea kisu kuwa butu
 
Ndio paka vigenar kwenye kisu wakati wa kukata kitunguu

Pia huwa unatoa machozi sababu kitunguu inatoa kitu kinaitwa lachrymatory factor or propanethial-S-oxide

Kinaenda ku irritate eye na eye lina sense hii ni foreign thing so kukitoa ndo unatoa machozi kutoa machozi ni moja ya njia ya jicho kutoa kitu kinachohisi ni uchafu

Njia zingine znazoweza kukusaidia usitoe machozi
1. Kutumia kisu kikali sana ili kuzuia cells zaidi za vitunguu zisikatike unapokata kitunguu


2. Dissolve kwenye maji ku dissolve some amino acid
 
Shukran sana kwa nondo
 
Unadissolve vipi kitunguu kwenye maji mkuu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…