Kwanini kizazi cha zamani kinazionea wivu Dividion One za 7 za sasa hivi?

choza choza

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2019
Posts
2,081
Reaction score
3,831
Kama vile watu hawataki watoto wafaulu, wanadai kisa one za 7 zimekua nyingi basi elimu imeshuka. Wakati ukweli ni kwamba
1. Sasa walimu ni wengi na wanafundisha kuliko wa zamani
2. Materials ya kujifunzia ni mengi na yanapatikana kwa urahisi kuliko zamani
3. Watoto wako motivated kusoma kuliko zamani
4. Shule ni nyingi kuliko zamani
5. Pengine IQ za watoto wa sasa ni kubwa kuliko zamani.

Tuache kuzionea wivu one za 7 za sasahivi
 
Zamani mitihani ilikuwa migumu

Unakutana na swali la lazima na limekunjwa haswa

Enzi hizo kuna penati ukipata F ya Civics au Basic Math

Hivyo kupata Division one au two ilibidi ufanye kazi ya ziada kwenye kusoma!!

Siku hizi mambo ni mepesi hata hamkeshi kwa kuweka miguu kwenye makarai
 
Mitihani ipi hiyo migumu ya zamani? Maswali yanyewe hata hayakua competence kuna hadi maswali ya true and false ambayo sasa hakuna
 
Watoto wa sasa hv kweli wana one na one zipo nyingi..

Ila ukifatilia kiukweli kichwani wana mavi mavi. Unakuta mtoto ana one kali ila mambo madogo madogo hajui kutwa ni visingeli ndo mana tunashangaa sana hii imekaaje au ndo madogo wanakalili majibu ...

Mi mtoto wa ant angu yaan ant dada ake baba sio ant dorry ..
Huyu dogo ana one form 4 ila pale hom mambo anayo fanya mpka nasemaga hii ni hasara aiseee.....

Yaaani kichwani kama anamakamasi
 
Hilo jambo la malezi sasa
 
kwanza hata sielewag mara naskia form 2 nao wana gpa wana divishen. enz zet paper la form 2002 hawawez kufanya watoto wa sa hiv
 
Shida sio kuwaonea wivu shida wanakuwa tupu kichwani.
Dogo una hiyo 1.7 lakini hata common knowledge huna, basics things hujui hata waziri wa fedha wa nchi yako hujui ni nani, kweli?
 
Hao wanaobadilishwabadilishwa kila siku
 
Watoto wa sasa hv kweli wana one na one zipo nyingi..

Ila ukifatilia kiukweli kichwani wana mavi mavi. Unakuta mtoto ana one kali ila mambo madogo madogo hajui kutwa ni visingeli ndo mana tunashangaa sana hii imekaaje au ndo madogo wanakalili majibu ...

Mi mtoto wa ant angu yaan ant dada ake baba sio ant dorry ..
Huyu dogo ana one form 4 ila pale hom mambo anayo fanya mpka nasemaga hii ni hasara aiseee.....

Yaaani kichwani kama anamakamasi
Kwa mwandiko huu dogo ana haki ya kuwa na makamasi
 
Zamani kulikuwa na standardization kama one zikiwa nyingi sana usishangae A zikaishia kwenye 99.999 yaani 98 ikawa B...; All in all sasa hivi materials ni mengi na madogo wanasoma zaidi na kuwepo kwa information ni rahisi kulenga paper hata kama haujaelewa...; Kumbuka Mitahani hii kushinda haimaanishi umeelewa bali uwezo wako wa kulenga paper which is not that hard...

Ingawa reasoning imeshuka...
 
Back
Top Bottom