Kwanini kizazi cha zamani kinazionea wivu Dividion One za 7 za sasa hivi?

Kwanini kizazi cha zamani kinazionea wivu Dividion One za 7 za sasa hivi?

Watoto wa sasa hv kweli wana one na one zipo nyingi..

Ila ukifatilia kiukweli kichwani wana mavi mavi. Unakuta mtoto ana one kali ila mambo madogo madogo hajui kutwa ni visingeli ndo mana tunashangaa sana hii imekaaje au ndo madogo wanakalili majibu ...

Mi mtoto wa ant angu yaan ant dada ake baba sio ant dorry ..
Huyu dogo ana one form 4 ila pale hom mambo anayo fanya mpka nasemaga hii ni hasara aiseee.....

Yaaani kichwani kama anamakamasi
Duh..
Train her/him
 
Tofauti ya zamani nasasa zamani kupiga one ilikuwa kimbembe hata upate four ajira nje nje sasa kipindi hiki mnapiga wani zenu mnabaki mnaziangalia kama uchi wa mtoto haziwasaidii kwa chohote
 
Waafrika wengi wanapenda sana kuoasi mitihani kuliko kuelimika na kuongeza tija.

Kama hizo division ones hazisaidii uchumi, haziongezi uelewa, haziongezi uwezo wa watu kujiajiri, zinakuwa sehemu ya "Status Anxiety" tu.
 
Waafrika wengi wanapenda sana kuoasi mitihani kuliko kuelimika na kuongeza tija.

Kama hizo division ones hazisaidii uchumi, haziongezi uelewa, haziongezi uwezo wa watu kujiajiri, zinakuwa sehemu ya "Status Anxiety" tu.
Ila ndio zinatuletea wataalam mbalimbali japo sio wavumbuzi
 
Zamani mitihani ilikuwa migumu

Unakutana na swali la lazima na limekunjwa haswa

Enzi hizo kuna penati ukipata F ya Civics au Basic Math

Hivyo kupata Division one au two ilibidi ufanye kazi ya ziada kwenye kusoma!!

Siku hizi mambo ni mepesi hata hamkeshi kwa kuweka miguu kwenye makarai
Siku hizi mtu ana Div 1 ila kilaza balaa.
 
Kama vile watu hawataki watoto wafaulu, wanadai kisa one za 7 zimekua nyingi basi elimu imeshuka. Wakati ukweli ni kwamba
1. Sasa walimu ni wengi na wanafundisha kuliko wa zamani
2. Materials ya kujifunzia ni mengi na yanapatikana kwa urahisi kuliko zamani
3. Watoto wako motivated kusoma kuliko zamani
4. Shule ni nyingi kuliko zamani
5. Pengine IQ za watoto wa sasa ni kubwa kuliko zamani.

Tuache kuzionea wivu one za 7 za sasahivi
LABDA hyo 1 hadi 4 ni sahihi,ila hapo kwenye namba 5 nina mashaka nalo mkuu
 
Kabisa mkuu,nakubaliana na wewe,
Mitihani ipi hiyo migumu ya zamani? Maswali yanyewe hata hayakua competence kuna hadi maswali ya true and false ambayo sasa hakuna
Mkuu wakati niko form 6 pale Tabora Boys nlikua nafungua madesa ya paper za zamani,,,aiseeeee zilikua ziko NONDO vibaya mnooo nkmauuliza second master kipindi hiko Mr. Masele ambaye naye alisoma miaka hyo ya zamani hapo hapo shuleni,,,alisema kipindi hiko ukisikia mtu kapata 1.7 o-level Tanzania nzma itamjua na kuna kipindi matokeo yanatoka kwa nchi nzima hakuna aliyepata 1.7,,,sio kwamba watu hawakua na akili-no!walikua Bright mno ila aina ya mitihani ilikua ni balaa tupu
 
Wanapata hizo one lakini uelewa mdogo saana
Niliwahi kukutana na mwanafunzi aliyepata 1.14 mwaka juzi nilimuuliza swali la kawaida kabisa kuhusu global warming,kitu ambacho ni kawaida kwenye environment issue long alichonijibu dah!nilisikitika mnooo,,,na alipata A ya Geography
 
Ukitaka kujua kwamba hana kitu kichwani,wakagueni kuanzia field au makazini utashangaa viroja wafanyavyo, wengine wamepotelea huko,unashangaa fulani alokuwa anasomea udaktari yu wapi siku hizi,kumbe alibadili fani baada ya kufeli,au kawa muuza mitumba,hamjaona hilo??
 
Back
Top Bottom