choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Mitihani ipi hiyo migumu ya zamani? Maswali yanyewe hata hayakua competence kuna hadi maswali ya true and false ambayo sasa hakunaZamani mitihani ilikuwa migumu
Unakutana na swali la lazima na limekunjwa haswa
Enzi hizo kuna penati ukipata F ya Civics au Basic Math
Hivyo kupata Division one au two ilibidi ufanye kazi ya ziada kwenye kusoma!!
Siku hizi mambo ni mepesi hata hamkeshi kwa kuweka miguu kwenye makarai
Hilo jambo la malezi sasaWatoto wa sasa hv kweli wana one na one zipo nyingi..
Ila ukifatilia kiukweli kichwani wana mavi mavi. Unakuta mtoto ana one kali ila mambo madogo madogo hajui kutwa ni visingeli ndo mana tunashangaa sana hii imekaaje au ndo madogo wanakalili majibu ...
Mi mtoto wa ant angu yaan ant dada ake baba sio ant dorry ..
Huyu dogo ana one form 4 ila pale hom mambo anayo fanya mpka nasemaga hii ni hasara aiseee.....
Yaaani kichwani kama anamakamasi
Review zipo za hilo paper ni la kawaida mnokwanza hata sielewag mara naskia form 2 nao wana gpa wana divishen. enz zet paper la form 2002 hawawez kufanya watoto wa sa hiv
Hao wanaobadilishwabadilishwa kila sikuShida sio kuwaonea wivu shida wanakuwa tupu kichwani.
Dogo una hiyo 1.7 lakini hata common knowledge huna, basics things hujui hata waziri wa fedha wa nchi yako hujui ni nani, kweli?
Kwa mwandiko huu dogo ana haki ya kuwa na makamasiWatoto wa sasa hv kweli wana one na one zipo nyingi..
Ila ukifatilia kiukweli kichwani wana mavi mavi. Unakuta mtoto ana one kali ila mambo madogo madogo hajui kutwa ni visingeli ndo mana tunashangaa sana hii imekaaje au ndo madogo wanakalili majibu ...
Mi mtoto wa ant angu yaan ant dada ake baba sio ant dorry ..
Huyu dogo ana one form 4 ila pale hom mambo anayo fanya mpka nasemaga hii ni hasara aiseee.....
Yaaani kichwani kama anamakamasi
Wanapata hizo one lakini uelewa mdogo saana