Kwanini kizazi cha zamani kinazionea wivu Dividion One za 7 za sasa hivi?

Duh..
Train her/him
 
Tofauti ya zamani nasasa zamani kupiga one ilikuwa kimbembe hata upate four ajira nje nje sasa kipindi hiki mnapiga wani zenu mnabaki mnaziangalia kama uchi wa mtoto haziwasaidii kwa chohote
 
Waafrika wengi wanapenda sana kuoasi mitihani kuliko kuelimika na kuongeza tija.

Kama hizo division ones hazisaidii uchumi, haziongezi uelewa, haziongezi uwezo wa watu kujiajiri, zinakuwa sehemu ya "Status Anxiety" tu.
 
Waafrika wengi wanapenda sana kuoasi mitihani kuliko kuelimika na kuongeza tija.

Kama hizo division ones hazisaidii uchumi, haziongezi uelewa, haziongezi uwezo wa watu kujiajiri, zinakuwa sehemu ya "Status Anxiety" tu.
Ila ndio zinatuletea wataalam mbalimbali japo sio wavumbuzi
 
Siku hizi mtu ana Div 1 ila kilaza balaa.
 
LABDA hyo 1 hadi 4 ni sahihi,ila hapo kwenye namba 5 nina mashaka nalo mkuu
 
Kabisa mkuu,nakubaliana na wewe,
Mitihani ipi hiyo migumu ya zamani? Maswali yanyewe hata hayakua competence kuna hadi maswali ya true and false ambayo sasa hakuna
Mkuu wakati niko form 6 pale Tabora Boys nlikua nafungua madesa ya paper za zamani,,,aiseeeee zilikua ziko NONDO vibaya mnooo nkmauuliza second master kipindi hiko Mr. Masele ambaye naye alisoma miaka hyo ya zamani hapo hapo shuleni,,,alisema kipindi hiko ukisikia mtu kapata 1.7 o-level Tanzania nzma itamjua na kuna kipindi matokeo yanatoka kwa nchi nzima hakuna aliyepata 1.7,,,sio kwamba watu hawakua na akili-no!walikua Bright mno ila aina ya mitihani ilikua ni balaa tupu
 
Wanapata hizo one lakini uelewa mdogo saana
Niliwahi kukutana na mwanafunzi aliyepata 1.14 mwaka juzi nilimuuliza swali la kawaida kabisa kuhusu global warming,kitu ambacho ni kawaida kwenye environment issue long alichonijibu dah!nilisikitika mnooo,,,na alipata A ya Geography
 
kwanza hata sielewag mara naskia form 2 nao wana gpa wana divishen. enz zet paper la form 2002 hawawez kufanya watoto wa sa hiv
Mkuu nakubaliana na wewe asilimia 100,ukimpa mtoto wa miaka hii paper ya zamani hatoboi kabsa
 
Ukitaka kujua kwamba hana kitu kichwani,wakagueni kuanzia field au makazini utashangaa viroja wafanyavyo, wengine wamepotelea huko,unashangaa fulani alokuwa anasomea udaktari yu wapi siku hizi,kumbe alibadili fani baada ya kufeli,au kawa muuza mitumba,hamjaona hilo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…