Kwanini kizazi hiki kinapenda sana chips mayai na kuku?

Kwanini kizazi hiki kinapenda sana chips mayai na kuku?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Vijana wake kwa waume wanauza utu wao kwa ajili ya chips mayai na kuku?
Hiki chakula kina kitu gani spesheli?

Wengi sana watoto wa kiume Magomeni wamebanduliwa kwa ajili ya chips yai

honestly mi nasikiaga sikiaga tu hayo mambo....
natamani hata niwaone tu kwa macho hao wadada wanao hongwa chips mayai.....

TB we nenda tuu maeneo maarufu kwa kuuza chips mayai au kuku na utawapata tuu. Au maeneo ya shule shule hizi ila ole wako usije ukakamatwa kwa kuwa fataki

TB we nenda tuu maeneo maarufu kwa kuuza chips mayai au kuku na utawapata tuu. Au maeneo ya shule shule hizi ila ole wako usije ukakamatwa kwa kuwa fataki

mkuu nimesema kuwaona tu..
sio kuwapata..

kama hata chipsi hawawezi nunua,je usafi wao wa mwili ukoje?
wataweza nunua padi?shampoo ,perfume na kadhalika???

Mbona hiyo misamiati kaka. Perfume tena. Ukishampata ndo unamnunulia hayo mazagazaga

Na buguruni mkuu sio uwanja wa fisi tuu. Hata wa pale buguruni ni mia tano au elfu mbili unapata huduma

sasa hapo si kinyaa kitupu???????

Mkuu ni zaidi ya kinyaa. Maana unajikuta uko kwenye foleni unasubiri kuingia. Nakumbuka nikiwa chuo kuna jamaa walikuwa wanaenda kule na wanasema kabisa ni buku mbili

mimi huwa nafikiria kutafuta namna ya kuwasaidia hasa hao watoto wa uwanja wa fisi
nasikia wengi huwa wanakuja kutoka mikoani,wakifika ubungo ndo wanapelekwa uwanja wa fisi
kuwahudumia watu wa mataputapu

hao watu wapo sababu wanapata wateja, wangekuwa hawapati wasingekaa, nafikiri wamejiwekea hiyo bidhaa kama zingine kutokana na maeneo, hizo sehemu kuku nasikia buku tu, sasa utajua mwenyewe wamempata wapi mpaka wauze hiyo bei, na wale wa maeneo hayo inabidi wajiuze kulingana na watu wa maeneo hayo

hahahh hjahajhah hhahha buji usiwe unanichekesha sana namna hiii.. Haaaaa hahahhahah hahhahahah

chips mayai zimefanya vijana legelege, mafuta legelege na ewura sijui legelege au ngangari, lol!

mkuu nimesema kuwaona tu..

sio kuwapata..

kama hata chipsi hawawezi nunua,je usafi wao wa mwili ukoje?

wataweza nunua padi?shampoo ,perfume na kadhalika???

wadada wa chuo mbona wasafi kama kawa lakn wanabebwa na wauza chipsi? ni hulka ya m2 mkuu

Dsm kila bidhaa inauzika. Hebu tembelea kwenye kumbi za taarab uone kina kaka na kina dada wanavyo shindana kuuza malighafi zao, zote zinanunuliwa na wanaume rijali

wadada wa chuo mbona wasafi kama kawa lakn wanabebwa na wauza chipsi? ni hulka ya m2 mkuu

mkuu mwanamke akikupenda hata bila chips
hata kwa pipi tu au maji ya kunywa unambeba...
ni namna unavyougusa moyo wake na maneno yako...

chips mayai zimefanya vijana legelege, mafuta legelege na ewura sijui legelege au ngangari, lol!

hata viongozi wetu wa nch kuanzia prezda na wasaidiz wake wote wanakula chps mayai na urojo

Back
Top Bottom