Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,986
- 5,058
huwa naamini wanawake wote wako na akili sawa japokuwa nawaheshimu kwa kuwa ni mama zetu na dada ze2. V2 wanavyovifanya ni vile vile ila wanatofautiana muda na mahali pa kufanyia. Labda tuwaulize wa humu jf,eti..mnavyotolewa out c huwa mnalishwa chipsi mayai na reds aafu mnaenda kuvlipia ucku mzima? naombeni majib