Wengi sana watoto wa kiume Magomeni wamebanduliwa kwa ajili ya chips yai
huwa naamini wanawake wote wako na akili sawa japokuwa nawaheshimu kwa kuwa ni mama zetu na dada ze2. V2 wanavyovifanya ni vile vile ila wanatofautiana muda na mahali pa kufanyia. Labda tuwaulize wa humu jf,eti..mnavyotolewa out c huwa mnalishwa chipsi mayai na reds aafu mnaenda kuvlipia ucku mzima? naombeni majib

wadada wa chuo mbona wasafi kama kawa lakn wanabebwa na wauza chipsi? ni hulka ya m2 mkuu

Dsm kila bidhaa inauzika. Hebu tembelea kwenye kumbi za taarab uone kina kaka na kina dada wanavyo shindana kuuza malighafi zao, zote zinanunuliwa na wanaume rijali

wanawake watu wazima huwezi wahukumu kwa njia hiyo

wao wana mahitaji yao ya mwili pia,

so hawaendi kufuata chipsi na reds..

na wao wana mahitaji ya mapenzi,sex na kadhalika

mkuu mwanamke akikupenda hata bila chips

hata kwa pipi tu au maji ya kunywa unambeba...

ni namna unavyougusa moyo wake na maneno yako...

mkuu nimesema kuwaona tu..

sio kuwapata..

kama hata chipsi hawawezi nunua,je usafi wao wa mwili ukoje?

wataweza nunua padi?shampoo ,perfume na kadhalika???
unajua nilisikiaga uwanja wa fisi
watoto wanajiuza kwa sh 500
nilibaki hoi kabisa

Kizazi cha CHips ndo maana hata Serikali legelege km chips
Really?Vijana wake kwa waume wanauza utu wao kwa ajili ya chips mayai na kuku?
Hiki chakula kina kitu gani spesheli?

oya umenichekesha sana ati malighafi lo....!