Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
Kwenye majina VYURA na MALALAMIKO hapo nimekupata mkuu,Haya majina yanatokana na muda tu, kwa mfano;
Vyura=asili ya eneo ni makazi ya chura
Malalamiko FC= Asili ya mashabiki wanalalamika sana (hata mahasimu wao wakipata kona wao wanalalamika)
Kuna muda hata Simba walipata jina la Miamala FC sijui kwa nini!
Mkuu,
Mkuu,
Aisee!!!Utopolo ni jina lililotolewa na shabiki wao Yanga akilalamikia pwefomance ya timu yake.Aliuliza hii ni yanga ama utopolo!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Gongowazi,miaka ile walikua hawana jezi wala viatu ndio maana wakaitwa gongo+wazi,kumbuka Simba ndio timu ya kwanza kuvaa jezi na viatu, kuchukua kombe,kupanda ndege,Kwenye majina VYURA na MALALAMIKO hapo nimekupata mkuu,
Vipi kuhusi GONGOWAZI, MBELEKO, MBUTEMBUTE, UTOPOLO na KWASUKWASU?
Sent using Jamii Forums mobile app
We kajunju acha mbwembwe basi
DAAAAAAAH!!!Gongowazi,miaka ile walikua hawana jezi wala viatu ndio maana wakaitwa gongo+wazi,kumbuka Simba ndio timu ya kwanza kuvaa jezi na viatu, kuchukua kombe,kupanda ndege,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,Mbeleko fc ni Simba boya wewe, mengine, mikia fc,mbumbumbu fc,hili mbumbumbu mlipewa na mwenyekiti wenu WA kipindi hicho,Rage,
Yanga pia ni mikia fc, mbumbumbu fc, wa matopeni fc, miamala fc, pafyumu vyumbani fc, vilaza fc, mo fc ...kwa hakika yanga wana majina mengi...tehtehteh[emoji1318]
Wakuu,
Kwa wale wanaojua na kufuatilia vema masuala ya soka hasa hapa nchini,
Kwa nini klabu ya soka ya Yanga ina nicknames nyingi kama vile
1) Gongowazi fc,
2) Vyura fc,
3) Mbeleko fc,
4) Malalamiko fc,
5) Mbutembute fc,
6) Utopolo fc,
7) Kwasukwasu fc
Na majina mengine mengi,
Wakati mahasimu wao wakubwa, timu ya Simba wana nickname moja tu maarufu ya "Wekundu wa msimbazi"?
Na ningeomba kupata fasiri/ufafanuzi, na ikiwezekana chanzo cha kila nickname hapo juu.
Wajuvi wa soka,
Nijuzeni tafadhali!
[emoji1318][emoji1318][emoji1318]
Sent using Jamii Forums mobile app