mkaona shanga hazitoshi mwaka 2020 mmeamua kuja na Vijora sio# vijora fcKuna mwaka mikia walikuwa na mchezaji wao anaitwa Thomas Karume..alikuwa analiwa 0719 na makocha wa mikia ..mechi ya Yanga na Mikia mashabiki wa Yanga wakaja uwanjani na shanga wakazirusha jukwaa la mikia...wakaitwa SHANGA FC
Maana ya sare...nguo zinazofanana zinazovaliwa na kikundi cha watu k.v. wanafunzi, wafanyakazi au askari.Mr Aussens aliwaita uneducated hakukoseamkaona shanga hazitoshi mwaka 2020 mmeamua kuja na Vijora sio# vijora fc
So unataka kuniambia vyura or utoporo =vijora FCMaana ya sare...nguo zinazofanana zinazovaliwa na kikundi cha watu k.v. wanafunzi, wafanyakazi au askari.Mr Aussens aliwaita uneducated hakukosea
Gongowazi fc
Kuna siku huko nyuma walicheza Mechi bila jezi ya juu yaani TShirt.
Waliva bukta tu Kwa kukosa jezi ya juu.
Picha ipo Maktaba
Sent using Jamii Forums mobile app
Thomas Karume ni yanga damu fatilia mahojiano yake na Bin Zubeiry aliichezea Simba kwa bahati mbaya MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA THOMAS KARUME, MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBAKuna mwaka mikia walikuwa na mchezaji wao anaitwa Thomas Karume..alikuwa analiwa 0719 na makocha wa mikia ..mechi ya Yanga na Mikia mashabiki wa Yanga wakaja uwanjani na shanga wakazirusha jukwaa la mikia...wakaitwa SHANGA FC
Hahahahaa [emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu umenikosha sanaHaya majina yanatokana na muda tu, kwa mfano; Vyura=asili ya eneo ni makazi ya chura
Malalamiko FC= Asili ya mashabiki wanalalamika sana (hata mahasimu wao wakipata kona wao wanalalamika)
Kuna muda hata Simba walipata jina la Miamala FC sijui kwa nini!
Mbona hata Simba ina nicknames nying sana, kama vile;.
FIFA FC
Wamatopeni Fc
Mbumbumbu FC
Hamsa FC
Kadi tatu Fc
Point za mezan Fc
Nakadhalika
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU,Niongeze kwa Gongowazi
1) Ombaomba FC
2) Chaneta FC
3) Ndala FC
4) Mabakuli FC
5) Matikiti FC
6) Vitumbua FC
7) Madimbwini FC
8 Kandamili FC
9) Zahera FC
10) Masimango FC
11) Michango FC
12) Watembea juu ya Mpira FC
[emoji3516]
Hahahah mie pia sikuwahi kuelewa chimbuko la hii mock ya Gongowazi Asante JF kisima cha maarifa.Vitu kama hivi muwa munatuona sisi Wazee [emoji23] [emoji23]
Hawa ni GONGOWAZI FC enzi za ubora wao wakikipiga bila ya Jezi.
CC: Shadeeya
View attachment 1376841
Mkuu,Yanga pia ni mikia fc, mbumbumbu fc, wa matopeni fc, miamala fc, pafyumu vyumbani fc, vilaza fc, mo fc ...kwa hakika yanga wana majina mengi...tehtehteh