Kwanini Klabu ya Yanga ina nicknames nyingi kuliko Mahasimu wao Simba?

Kwanini Klabu ya Yanga ina nicknames nyingi kuliko Mahasimu wao Simba?

Kuna mwaka mikia walikuwa na mchezaji wao anaitwa Thomas Karume..alikuwa analiwa 0719 na makocha wa mikia ..mechi ya Yanga na Mikia mashabiki wa Yanga wakaja uwanjani na shanga wakazirusha jukwaa la mikia...wakaitwa SHANGA FC
mkaona shanga hazitoshi mwaka 2020 mmeamua kuja na Vijora sio# vijora fc
 
Maana ya sare...nguo zinazofanana zinazovaliwa na kikundi cha watu k.v. wanafunzi, wafanyakazi au askari.Mr Aussens aliwaita uneducated hakukosea
So unataka kuniambia vyura or utoporo =vijora FC
 
Gongowazi fc
Kuna siku huko nyuma walicheza Mechi bila jezi ya juu yaani TShirt.
Waliva bukta tu Kwa kukosa jezi ya juu.
Picha ipo Maktaba

Sent using Jamii Forums mobile app

Vitu kama hivi muwa munatuona sisi Wazee [emoji23] [emoji23]

Hawa ni GONGOWAZI FC enzi za ubora wao wakikipiga bila ya Jezi.

CC: Shadeeya

GONGOWAZI FC.jpg
 
Haya majina yanatokana na muda tu, kwa mfano; Vyura=asili ya eneo ni makazi ya chura
Malalamiko FC= Asili ya mashabiki wanalalamika sana (hata mahasimu wao wakipata kona wao wanalalamika)
Kuna muda hata Simba walipata jina la Miamala FC sijui kwa nini!
Hahahahaa [emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu umenikosha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hata Simba ina nicknames nying sana, kama vile;.

FIFA FC
Wamatopeni Fc
Mbumbumbu FC
Hamsa FC
Kadi tatu Fc
Point za mezan Fc
Nakadhalika

Sent using Jamii Forums mobile app

Niongeze kwa Gongowazi

1) Ombaomba FC
2) Chaneta FC
3) Ndala FC
4) Mabakuli FC
5) Matikiti FC
6) Vitumbua FC
7) Madimbwini FC
8 Kandamili FC
9) Zahera FC
10) Masimango FC
11) Michango FC
12) Watembea juu ya Mpira FC
 
Niongeze kwa Gongowazi

1) Ombaomba FC
2) Chaneta FC
3) Ndala FC
4) Mabakuli FC
5) Matikiti FC
6) Vitumbua FC
7) Madimbwini FC
8 Kandamili FC
9) Zahera FC
10) Masimango FC
11) Michango FC
12) Watembea juu ya Mpira FC
MKUU,
Hebu nipe ufafanuzi kidogo hapo kwenye VITUMBUA na MATIKITI hapo.

[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom