Aisee ndio hii picha ya Gongowazi.Vitu kama hivi muwa munatuona sisi Wazee [emoji23] [emoji23]
Hawa ni GONGOWAZI FC enzi za ubora wao wakikipiga bila ya Jezi.
CC: Shadeeya
View attachment 1376841
Ni kweli mkuu ni jirani yangu namjua vizuri,na ni kocha wetu timu ya mtaani,ni chura churaniThomas Karume ni yanga damu fatilia mahojiano yake na Bin Zubeiry aliichezea Simba kwa bahati mbaya MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA THOMAS KARUME, MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA
Mbutembute# yaani butua butua[emoji3516]
MKUU,
Vipi unaweza kunijuza kidogo kuhusu hii nickname ya MBUTEMBUTE FC hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3516]
Bodaboda FC, FIFA FC, Rufaa FC.Mbeleko fc ni Simba boya wewe, mengine, mikia fc,mbumbumbu fc,hili mbumbumbu mlipewa na mwenyekiti wenu WA kipindi hicho,Rage,
Umesahau...ile ya Simba lunyasi...yanga kwa kweli wana nickname nyingi Sana...tehtehteh
MKUU,
Hebu nipe ufafanuzi kidogo hapo kwenye VITUMBUA na MATIKITI hapo.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Madela fc [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1318]
Wakuu,
Kwa wale wanaojua na kufuatilia vema masuala ya soka hasa hapa nchini,
Kwa nini klabu ya soka ya Yanga ina nicknames nyingi kama vile
1) Gongowazi fc,
2) Vyura fc,
3) Mbeleko fc,
4) Malalamiko fc,
5) Mbutembute fc,
6) Utopolo fc,
7) Kwasukwasu fc
8) Mabakuli FC
Na majina mengine mengi,
Wakati mahasimu wao wakubwa, timu ya Simba wana nickname moja tu maarufu ya "Wekundu wa msimbazi"?
Na ningeomba kupata fasiri/ufafanuzi, na ikiwezekana chanzo cha kila nickname hapo juu.
Wajuvi wa soka,
Nijuzeni tafadhali!
[emoji1318][emoji1318][emoji1318]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama kuna nickname imekaa kidhalilishaji kupita MBUMBUMBU FC.
[emoji1318]
Wakuu,
Kwa wale wanaojua na kufuatilia vema masuala ya soka hasa hapa nchini,
Kwa nini klabu ya soka ya Yanga ina nicknames nyingi kama vile
1) Gongowazi fc,
2) Vyura fc,
3) Mbeleko fc,
4) Malalamiko fc,
5) Mbutembute fc,
6) Utopolo fc,
7) Kwasukwasu fc
8) Mabakuli FC
Na majina mengine mengi,
Wakati mahasimu wao wakubwa, timu ya Simba wana nickname moja tu maarufu ya "Wekundu wa msimbazi"?
Na ningeomba kupata fasiri/ufafanuzi, na ikiwezekana chanzo cha kila nickname hapo juu.
Wajuvi wa soka,
Nijuzeni tafadhali!
[emoji1318][emoji1318][emoji1318]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau jina HOHO FC yaani lipilipi likuuuubwa lakini haliwashi, kama ilivyo ndala wanajiita timu kuuuubwa kumbe hamna kituu[emoji1318]
Wakuu,
Kwa wale wanaojua na kufuatilia vema masuala ya soka hasa hapa nchini,
Kwa nini klabu ya soka ya Yanga ina nicknames nyingi kama vile
1) Gongowazi fc,
2) Vyura fc,
3) Mbeleko fc,
4) Malalamiko fc,
5) Mbutembute fc,
6) Utopolo fc,
7) Kwasukwasu fc
8) Mabakuli FC
Na majina mengine mengi,
Wakati mahasimu wao wakubwa, timu ya Simba wana nickname moja tu maarufu ya "Wekundu wa msimbazi"?
Na ningeomba kupata fasiri/ufafanuzi, na ikiwezekana chanzo cha kila nickname hapo juu.
Wajuvi wa soka,
Nijuzeni tafadhali!
[emoji1318][emoji1318][emoji1318]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekosea, hizi ni picha za Timu ya Taifa ya Tanzania mwaka 1971 December 9, sherehe za miaka kumi ya uhuru, picha ya juu wa kwanza kushoto Mohamed Chuma aliyekuwa namba 3, vile vile akiichezea Bandari ya Mtwara, anayemfatia ni Omari Zimbwe centre half aliyekuwa anaichezea African Sports ya Tanga, anayefuata ni Kitwana Manara namba 9 alikuwa akiichezea Yanga, na huyo nahodha ni Abdulrahman Juma wa Mido wa Yanga na huyo mgeni rasmi ni Rais Nimeiry wa Sudan. Hii ilitokea wakati timu ya Taifa ya Tanzania ikicheza mechi ya kirafiki na Sudan kwenye sherehe hizo. Jezi zilifanana ikabidi Tanzania wenyeji wavue jezi walizovaa, na hawakuwa na nyingine pale uwanjani, ilikuwa ni aibu kubwa mbele ya Nyerere.Vitu kama hivi muwa munatuona sisi Wazee [emoji23] [emoji23]
Hawa ni GONGOWAZI FC enzi za ubora wao wakikipiga bila ya Jezi.
CC: Shadeeya
View attachment 1376841