Kwanini Klabu ya Yanga ina nicknames nyingi kuliko Mahasimu wao Simba?

Kwanini Klabu ya Yanga ina nicknames nyingi kuliko Mahasimu wao Simba?

Sidhani kama kuna nickname imekaa kidhalilishaji kupita MBUMBUMBU FC.
 
Inaonesha ni kiasi gan umeandika kwa mihemko!nilitegemea uweke na hzo nicknames za Simba ili tuone ulilosahau.
 
-Mbumbubmbu fc
-Mikia fc
-Misukele fc
-Hirizi fc
-Miamala fc-hapa game ukiwa tafu upande wao lazima tigo pesa ihusike.
-Bebwabebwa fc- hapa marefa huusika kutoa magoli ya offside, penalt za nje ya 18
-Jazba fc - hapa baada yakufungwa na kung'oa viti
 
MKUU,
Hebu nipe ufafanuzi kidogo hapo kwenye VITUMBUA na MATIKITI hapo.

[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app

Matikiti - Walipokuwa Kambi morogoro walivamia shamba la Matikiti na kuyala kupunguza njaa.

Vitumbua - Kutokana na njaa Kali Gongowazi tulikuwa tunapishana kijiweni wanakunywa chai na Vitumbua
 
[emoji1318]

Wakuu,

Kwa wale wanaojua na kufuatilia vema masuala ya soka hasa hapa nchini,

Kwa nini klabu ya soka ya Yanga ina nicknames nyingi kama vile

1) Gongowazi fc,

2) Vyura fc,

3) Mbeleko fc,

4) Malalamiko fc,

5) Mbutembute fc,

6) Utopolo fc,

7) Kwasukwasu fc

8) Mabakuli FC

Na majina mengine mengi,

Wakati mahasimu wao wakubwa, timu ya Simba wana nickname moja tu maarufu ya "Wekundu wa msimbazi"?

Na ningeomba kupata fasiri/ufafanuzi, na ikiwezekana chanzo cha kila nickname hapo juu.

Wajuvi wa soka,

Nijuzeni tafadhali!

[emoji1318][emoji1318][emoji1318]

Sent using Jamii Forums mobile app
Madela fc [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama kuna nickname imekaa kidhalilishaji kupita MBUMBUMBU FC.

Mbumbumbu ni jina la Nadharia lakini Gongiwazi ni jina linalotokana na tukio halisi la Ndala kucheza wakiwa gongowazi.

Kwahiyo Gongowazi ni jina linalodhalilisha zaidi kwasababu linatokana na tukio la kweli.
 
Wana gundu
[emoji1318]

Wakuu,

Kwa wale wanaojua na kufuatilia vema masuala ya soka hasa hapa nchini,

Kwa nini klabu ya soka ya Yanga ina nicknames nyingi kama vile

1) Gongowazi fc,

2) Vyura fc,

3) Mbeleko fc,

4) Malalamiko fc,

5) Mbutembute fc,

6) Utopolo fc,

7) Kwasukwasu fc

8) Mabakuli FC

Na majina mengine mengi,

Wakati mahasimu wao wakubwa, timu ya Simba wana nickname moja tu maarufu ya "Wekundu wa msimbazi"?

Na ningeomba kupata fasiri/ufafanuzi, na ikiwezekana chanzo cha kila nickname hapo juu.

Wajuvi wa soka,

Nijuzeni tafadhali!

[emoji1318][emoji1318][emoji1318]

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Umesahau jina HOHO FC yaani lipilipi likuuuubwa lakini haliwashi, kama ilivyo ndala wanajiita timu kuuuubwa kumbe hamna kituu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitu kama hivi muwa munatuona sisi Wazee [emoji23] [emoji23]

Hawa ni GONGOWAZI FC enzi za ubora wao wakikipiga bila ya Jezi.

CC: Shadeeya

View attachment 1376841
Umekosea, hizi ni picha za Timu ya Taifa ya Tanzania mwaka 1971 December 9, sherehe za miaka kumi ya uhuru, picha ya juu wa kwanza kushoto Mohamed Chuma aliyekuwa namba 3, vile vile akiichezea Bandari ya Mtwara, anayemfatia ni Omari Zimbwe centre half aliyekuwa anaichezea African Sports ya Tanga, anayefuata ni Kitwana Manara namba 9 alikuwa akiichezea Yanga, na huyo nahodha ni Abdulrahman Juma wa Mido wa Yanga na huyo mgeni rasmi ni Rais Nimeiry wa Sudan. Hii ilitokea wakati timu ya Taifa ya Tanzania ikicheza mechi ya kirafiki na Sudan kwenye sherehe hizo. Jezi zilifanana ikabidi Tanzania wenyeji wavue jezi walizovaa, na hawakuwa na nyingine pale uwanjani, ilikuwa ni aibu kubwa mbele ya Nyerere.
 
Back
Top Bottom