Kwanini Klabu ya Yanga ina nicknames nyingi kuliko Mahasimu wao Simba?

Bado chapati za kaduguda fc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo hirizi fc ndo zao hao mikia fc umewapatia bado puliza dawa fc
Sent using Jamii Forums mobile app
 
" Namshangaa sana Shabiki wa Yanga FC anayetumia muda wake mwingi Kuidhihaki Simba SC inabebwa. Hivi Timu yetu ( Yanga ) inapoteza alama 8 dhidi ya Prisons, dhidi ya Mbeya City, dhidi ya Coastal Union na dhidi ya Polisi halafu unatumia nguvu Kubwa Kuitukana Simba SC? Kwahiyo na Yanga FC istahili Kubebwa ili isipate Sare 4? "

Jr[emoji769]
 
ongezea

Ndala au Kandambili fc

Yeboyebo fc

Bwawani fc
 
Siku hizi kumekua na majina ya ajabu ajabu tu. Enzi zetu ilikua ni UMOJA WA MATAIFA kwa Yanga, na TAIFA KUBWA kwa Simba.

Yaan hata Kidedea hakipigwi tena siku hizi pale Simba inapopata bao
 
Umedanganya makusudi .
Utopolo fc na kwasukwasu fc n majina ya utani ya simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ