Kwanini klabu ya Yanga inapendelea kuweka kambi nchi ya Uturuki?

Angalia gharama mkuu ya kuipeleka timu huko na kuanzisha ujenzi wa uwanja wao kipi kiwe kipaumbele?
Hata TP Mazembe wana uwanja lakini huwa wanaenda kuweka kambi ulaya
 
Angalia gharama mkuu ya kuipeleka timu huko na kuanzisha ujenzi wa uwanja wao kipi kiwe kipaumbele?

Wanatumia sh.ngapi kwani? Na wakiwa bongo wanatumia kiasi gani? Mazingira bongo sio rafiki game next week TFF wanaotisha conference za kuikomoa yanga Na kuingiza Simba katika mambo ya Yanga wakati simba hawapo katika mashindano.
 
Manji anandugu zake uturuki.... Sasa sjui kuna biashara gani wanaifanya kupitia Wachezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…