Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Hata TP Mazembe wana uwanja lakini huwa wanaenda kuweka kambi ulayaAngalia gharama mkuu ya kuipeleka timu huko na kuanzisha ujenzi wa uwanja wao kipi kiwe kipaumbele?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata TP Mazembe wana uwanja lakini huwa wanaenda kuweka kambi ulayaAngalia gharama mkuu ya kuipeleka timu huko na kuanzisha ujenzi wa uwanja wao kipi kiwe kipaumbele?
Bila shaka unamanisha Jangwani City au nimeona vibaya? Nadhani wanakwenda Uturuki kupeleka.Tuko kwenye maandalizi ya jangwani Citey
Angalia gharama mkuu ya kuipeleka timu huko na kuanzisha ujenzi wa uwanja wao kipi kiwe kipaumbele?