Kwanini kocha wa Simba SC (Benchikha) anasikilizwa sana kuliko makocha wengine waliopita Msimbazi?

Mnachokozaga mkitukanwa mnaanza kulia lia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehemu nimekutaja hapo? Au wewe ndiye Mangungu? Maana huyo pekee ndiye niliyemtaja.

Halafu siyo kwamba siwezi kujibu mashambulizi ya hayo matusi yenu. Ni vile tu ninajitahidi kuilinda heshima yangu, kutokana na ukweli kwamba wengi wenu humu mnaopenda kutukana watu hovyo; ni watoto wa miaka ya 1990's na 2000's.
 
"Benchikha mchezaji yoyote atakae mtaka tutampa"

Hayo ni maneno ya Try again akizungumza na waandishi Habari lakini katika jicho la tatu ni maneno ya kufikiria sana na yanayoleta maswali mengi.

(1) je kocha Robertinho alipewa uhuru huo wa kuchagua/kununua wachezaji Kama thamani anayopewa Benchikha?

Ikumbukwe tu kocha Robertinho Alishawahi kumfanyia Sub Mchezaji Chama, ziliibuka Kelele nyingi sana kuanzia kwa mashabiki mpaka Viongozi wa timu walipiga Kelele Sana kwa Nini Chama atolewe.

Siyo hivyo tu mwalimu kocha Mark Zolan pia alikutwa na chanagamoto hiyo alipotua msimbazi, na yeye pia aliona Chama hafit katika mfumo wake hiyo ilipelekea kuleta makelele kwa nini Chama akae Benchi.

Ujio wa Kocha Benchikha imekua tofauti misimamo yake imekubalika kwa Viongozi wa timu husika na Chama anafanyiwa sub hakuna Kelele/ anaanzia benchi hakuna anayeleta Kelele.

NALIA NGWENA nimepenyezewa za chini chini kuwa Kocha kaletwa na tajiri/bosi Kama boss na ndiyo maana hakuna wakuleta ng'a! Wala ng'e!

Kwa tathimini hiyo ndogo unagundua kabisa kumbe walimu waliopita hawana makosa Bali wenye shida ni viongozi wa timu, hao ndiyo walimpangia kocha nini Cha kufanya na mchezaji gani acheze/apangwe katika mechi husika.

Kwangu mimi Mark Zolan na Robertinho ni walimu wazuri Ila waliangushwa na ujanja ujanja wa viongozi kwa kuwaingilia majukumu yao katika utendaji wa kazi, Hata wao Kama wangepewa Uhuru Kama huo anaopewa Benchikha sidhani Kama ungeibuka mgogoro Pale msimbazi.
Profile ya Benchika ni kubwa kuliko za makocha wengine WOTE waliopita. Benchika atawaambia kua alipotoka alifanikiwa sababu ya mambo kadhaa ikiwemo kutoingiliwa uwanjani na kusikilizwa.

So Simba wakitaka kua nae na wafanikiwe nae basi moja ya masharti yake ni hayo.
 
Alitoa tahadhari kua yeye hapangiwi na wakimtaka afanye vzr baasi wampe uhuru kiufupi anaogopeka, angekua Roberto mda tu mngeshatukanwa sana.
 
"Benchikha mchezaji yoyote atakae mtaka tutampa"

Hayo ni maneno ya Try again akizungumza na waandishi Habari lakini katika jicho la tatu ni maneno ya kufikiria sana na yanayoleta maswali mengi.

(1) je kocha Robertinho alipewa uhuru huo wa kuchagua/kununua wachezaji Kama thamani anayopewa Benchikha?

Ikumbukwe tu kocha Robertinho Alishawahi kumfanyia Sub Mchezaji Chama, ziliibuka Kelele nyingi sana kuanzia kwa mashabiki mpaka Viongozi wa timu walipiga Kelele Sana kwa Nini Chama atolewe.

Siyo hivyo tu mwalimu kocha Mark Zolan pia alikutwa na chanagamoto hiyo alipotua msimbazi, na yeye pia aliona Chama hafit katika mfumo wake hiyo ilipelekea kuleta makelele kwa nini Chama akae Benchi.

Ujio wa Kocha Benchikha imekua tofauti misimamo yake imekubalika kwa Viongozi wa timu husika na Chama anafanyiwa sub hakuna Kelele/ anaanzia benchi hakuna anayeleta Kelele.

NALIA NGWENA nimepenyezewa za chini chini kuwa Kocha kaletwa na tajiri/bosi Kama boss na ndiyo maana hakuna wakuleta ng'a! Wala ng'e!

Kwa tathimini hiyo ndogo unagundua kabisa kumbe walimu waliopita hawana makosa Bali wenye shida ni viongozi wa timu, hao ndiyo walimpangia kocha nini Cha kufanya na mchezaji gani acheze/apangwe katika mechi husika.

Kwangu mimi Mark Zolan na Robertinho ni walimu wazuri Ila waliangushwa na ujanja ujanja wa viongozi kwa kuwaingilia majukumu yao katika utendaji wa kazi, Hata wao Kama wangepewa Uhuru Kama huo anaopewa Benchikha sidhani Kama ungeibuka mgogoro Pale msimbazi.
Sijaona kosa uongozi kumsikiliza kocha wao.
 
Mwaka ambao niliingia kidato cha kwanza Kuna kitabu cha English kilikuwa kinaitwa "We Learn Through Mistakes" Kwa tafsiri isiyo rasmi ni kwamba 'Tunajifunza kutokana na Makosa' na Wahenga wanasema "Kufanya kosa si kosa Bali Kurudia Kosa ni Kosa" Kwa maana iyo Viongozi wa Simba wameshajifunza kwamba kumuingilia kocha kwenye
majukumu yake ni Makosa. Kwa iyo Kwa makocha waliopita hawakujua kama ni makosa Bali Sasa wamejifunza
 
Back
Top Bottom