Wanadai ni sera za kupunguza pollutionNgoja wajuzi wa Mambo waje
Una discourage importation kwa kuweka kodi kubwa kwenye magari mapya, kibongo bongo, used abroad kwa miaka michache, unapunguza kwa yaliyotumika miaka mingi zaidi! Hapa unatengeneza dampo la vyuma chakavu kwa nchi yetu.Trade balance ni issue, we import more than we export. Tarrifs ni njia moja wapo wa kudiscourage importation.
Hawa huwa hawakosi SababuWanadai ni sera za kupunguza pollution
Perfect, gari zenyewe used na gari nyingi kuliko barabara zetu hapa wengefanya gari mpya kodi ndogo gari za zamani kodi kubwa sana.Trade balance ni issue, we import more than we export. Tarrifs ni njia moja wapo wa kudiscourage importation.
Pamoja na ukweli kuwa Tanzania kodi za gari zipo juu sana, hasa wakiona brand za Ulaya, lakini huyo jamaa yako alikuwa hajafikia uwezo wa kuagiza hiyo gari amelazimisha tu.Jamaa Yangu kaagiza harrier 2014 kashindwa kuitoa, anaiuza! Kaleta gari ghafla ushuru umekua Mkubwa kwa ziada ya 6m
Kwan sisi tunatengeneza magariTrade balance ni issue, we import more than we export. Tarrifs ni njia moja wapo wa kudiscourage importation.