KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Kwa hali halisi inaonekana kodi za TRA katika uagizaji magari Azina uhalisia kodi inakuwa kubwa kuliko gharama ya gari! Ni nani Mshauri wa Wizara ya Fedha katika swala la kodi je kuna vigezo vinavyotumika kutoza kodi?kama vipo ni vipi?mbona haviendani na uhalisia?Kwani Tanzania kuagiza gari ni anasa tulitegemea nchi wadada wananchi wake kwa kuwapunguzia mzigo wa kodi Ila huku ipo tofauti? Katika nchi jirani kodi zipo chini wakati magari yanapita hapa Bandari salama ni nini sababu?Tujenge hoja!