Kwanini kodi za nyumba Dar ni ghali (expensive) kuliko Nairobi na Kampala?

Dar huwa inashangaza sana. Na si nyumba peke yake hadi spares za magari,mitambo n.k utastaajabu Kampala spares ni cheeper (kumbuka Uganda hawana bandari) kuliko hapa Dar. Nafikiri chanzo ni pesa chafu kujaa mno kwenye mzunguko pia udalali., Tanzania lazybones ni wengi mno wanaopenda kula kwa jasho la wengine. Ubepari tumeuvamia kwa nguvu ya ajabu!
 
Hii inategemea sana,nairobi ni kubwa,Dar ni kubwa vilevile;Kwa nairobi kuna sehemu kodi yake ni rahisi na kuna sehemu ni ghali vilevile kwa Dar;
Sasa inabidi ijulikane kama hizo zinazoongelewa zinafanana kwa kibiashara,makazi n.k ndio unaweza uka-conclude kwamba Dar nyumba ni gharama zaidi ya nairobi;
Vilevile unazungumzia nyumba binafsi au za nhc ili tujue,lkn ni ngumu sana ku-conclude hvyo;
 
Sababu Ni Mbili,ya Kwanza Ni Utawala Mbovu Wa Ccm,ya Pili Ni Kwa Kuwa Wazaramo Wengi Hawana Akili Ya Kufanya Biashara Na Hivyo Kujikuta Wakitegemea Nyumba Asilimia Mia Ili Waishi Na Ndo Maana Lazima Wapandishe Kodi.
 

mkuu sofina; kilichoko hapo ni average cost comparison na ndo mana hata hao real estate agent ambao wako both in dar and nairob wameweza kuonyesha kweli kwamba kuna tofaut japo gharama za ujenz ni tofaut(cheap zaid)
 
Yote sawa, lakini tatizo kubwa watanzania tumejawa na UBINAFSI & UOGA. Ndio sababu japo ilishatangazwa kuwa kodi mwisho kulipa n miezi mi3 pia marufuku ya ongezeko la kodi kiholela. Ila hakuna wakunyanyuka na kuhoji au hata kuuliza inakuwaje & vp utekelezaji wake. Ndio sababu pia hata ada za shule binafsi zinazidi kuongezeka kila kukicha.. Ila hakuna wa kuhoji, matokeo yake ni kugugumia tuu.. Lol jaman tuachane na UBINAFSI itakusaidia kutokuwa WAOGA hasa pale inapostahili.
 
Sasa kwa taarifa yako Nairobi ndo kuna money laundering kwa kiasi kikubwa kuliko Dar kuanzia WANASIASA mpaka wafanyabiashara binafsi naish Nairobi kichumba kimoja (BEDSITTER) nalipa 10,000 KSHS.= 200,000TSH/mwezi umbali wa 45kms toka Mjini CBD, Wakati hapa Sinza unapata chumba laki 1
 

hiyo kweli balaa..

japokuwa wakenya wengi wanalalamika dar ni expensive sana ku rent
 

sasa kaka utahoji nyumba aliyojenga mwenzako..

seller anasema bei sh kazaa kama unataka chukua hutaki sepa.. sasa hapo nguvu ya hoja inatokea wapi?

maana hatulazimishwi kununua
 
Sababu Ni Mbili,ya Kwanza Ni Utawala Mbovu Wa Ccm,ya Pili Ni Kwa Kuwa Wazaramo Wengi Hawana Akili Ya Kufanya Biashara Na Hivyo Kujikuta Wakitegemea Nyumba Asilimia Mia Ili Waishi Na Ndo Maana Lazima Wapandishe Kodi.


toka nimeanza kupanga mjini hapa sijawahi kuona land lord mzaramo..


wazaramo wamekimbilia madale, mwanarumango etc.... hawana nguvu ya kujenga nyumba
 
tatizo la dar ni kuwa unalipa kodi kwa mkupuo (miezi 6 au mwaka 1) hapo ndo ugumu unapokuja nchi jirani hapo (Kenya) unalipa kodi kwa mwezi.
 

Ndugu yangu, 45 kms ni nyingi sana kwa Kshs 10000, Zimmerman,kahawa west,umoja,kasarani,hazina.. etc. Wanalipa hiyo bei kwenye maghorofa mapya kwa one bedroom apartments na haifiki umbali huo uliotaja.Nyumba ya laki mbili sinza ni ya ovyo mno.Kiufupi factor kubwa inayo changia hali hii ni ukuaji wa sector ya real estate kwa Tanzania ni mdogo ukilinganisha na Kenya. Nairobi nyumba ni nyingi na zinapatikana kwa urahisi na hawalipishi kodi zaidi ya miezi mitatu.
 

Hii nayo ni nini? regulation ya 'housing demand'? Halafu washukuruni hao wanaowekeza kwenye makazi, maana hali ingekuwa mbaya mno. Na kodi siku zote inapasishwa kwa mlaji.
 
Nadhani hata ujenzi wa nyumba Dar ni balaa tupu. ikiwa Kiwanja peke yake ni 50m ukijenga kweli utapangisha kwa laki moja?
na bei ya cement pia.ingekuwa 5000 wengi wangejenga na demand ingepungua. pia vifaa vingi vya finishing tunaagiza. bati msauzi, tiles spain, sink india, vitasa union vya uingereza. haishangazi wanaposema kuna upungufu wa nyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…