MWENDAKULIMA
JF-Expert Member
- Jul 17, 2009
- 951
- 355
Dar huwa inashangaza sana. Na si nyumba peke yake hadi spares za magari,mitambo n.k utastaajabu Kampala spares ni cheeper (kumbuka Uganda hawana bandari) kuliko hapa Dar. Nafikiri chanzo ni pesa chafu kujaa mno kwenye mzunguko pia udalali., Tanzania lazybones ni wengi mno wanaopenda kula kwa jasho la wengine. Ubepari tumeuvamia kwa nguvu ya ajabu!