baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Qatar wamezidiwa hadi wameomba mapolisi toka Nchi nyengine, Ticket tayari zimeshauzika zamani, Mamilioni wamekosa Tiketi.But Kwa taarifa tu...tiketi zote zimeshauzwa...booking za hotelKwa sasa ni zaidi ya asilimia 90 mpaka waarabu wanakodi macruizer kuwa mbadala WA hotel...kiufupi sema world cup haina mvuto huku kwetu Africa lakini at general world bado inatazamiwa kuwa kubwa...