Kwanini Kombe la Dunia la mwaka huu halina amsha amsha kama Makombe ya Dunia yaliyopita?

Qatar wamezidiwa hadi wameomba mapolisi toka Nchi nyengine, Ticket tayari zimeshauzika zamani, Mamilioni wamekosa Tiketi.
 
Limeenda kule Kwa sababu ya Rushwa Ndo maana hakuna Mwamko Yaan kombe ulipeleke Kwa waarabu utegemee mwamko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…