Kwanini kozi za Uhandisi katika Chuo cha Ufundi Arusha zinahitaji Masomo ya Kiuchumi, Biolojia na Kemia?

Kwanini kozi za Uhandisi katika Chuo cha Ufundi Arusha zinahitaji Masomo ya Kiuchumi, Biolojia na Kemia?

bob_fundi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2025
Posts
457
Reaction score
705
Habari zenu, naombeni kujua kwani Arusha Technical College wanatoa bachelor's degrees in mechatronics and materials engineering na bachelor of mechanical engineering, lakini vigezo vyao wameweka masomo kama geography, economics, biology, chemistry, physics, and advanced mathematics.

Chuo hicho kilianza kutoa degree kwa kozi hizo mbili kwanzia mwaka 2023/2024. Lakini vyuo vingine vinaishia tu kwenye physics na advanced mathematics.

Naombeni msaada kwa hilo.
 
1000345646.jpg
 
Back
Top Bottom