nkowosi
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 568
- 637
Kuna njia moja tu niliyoitumia kuacha nafikil hata ww itakusaidia
Binafsi niliweka ahadi na Mungu wangu kwamba nikipiga punyeto nisipate dili lolote na mambo yangu yasifanikiwe
Kila nikitaka kupiga nikikumbuka tu naacha sasa hyo lazima uwe na iman na Mungu wako
Mbinu nyingine zote ilishindikana lkn hii nimeweza sahiv hata ckumbuk hata form ya usajil nimerudisha